Netanyahu aapa kujenga Ukuta Jordan kuzuia Wahamiaji wa Kiafrika, waliopo kuondolewa Israel

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,275
50,039
Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala.

Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo.

Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu wanapojaribh kuvuka Kwa magendo kwenda Ulaya.

Swali:
Kwa nini Mtu mweusi anakataliwa Kila sehemu? Je, kuna disorder sehemu au?

=======

ISRAEL, Tel Aviv: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kujenga ukuta mwingine wa mpaka - wakati huu kwenye mpaka wa mashariki wa nchi hiyo na Jordan - ili kuwazuia wahamiaji ‘haramu’ kutoka nchi za Afrika wanaofurika kuomba hifadhi.

"Tuliweka uzio kwenye mpaka wetu wa kusini (Misri) na kusimamisha uingiaji kutoka huko hadi Israeli," Netanyahu alisema katika taarifa yak. "Kwa hivyo tulisimamisha zaidi ya waingiaji milioni 1 kutoka Afrika, ambao wangeharibu nchi yetu. Sasa tutajenga uzio kwenye mpaka wetu wa mashariki (Jordan) na kuhakikisha kwamba hakutakuwa na upenyaji kupitia huko."

Kiongozi huyo wa Israel ametoa kauli yake baada ya kuitisha mkutano maalum wa mawaziri wake katika kukabiliana na ghasia kubwa zilizowahusisha wahamiaji wa Eritrea siku ya Jumamosi mjini Tel Aviv. Alitoa wito kwa mawaziri wake kuandaa mipango mipya ya kuwafukuza sio tu raia wa kigeni waliohusika katika ghasia za wikendi hii, bali pia wahamiaji wengine wa Kiafrika.

Serikali ya Netanyahu ilikataa kutoa hadhi ya ukimbizi ya waomba hifadhi wengi wa Kiafrika, ikiwataja kama "waingiaji haramu." Nchi hiyo inaripotiwa kuwa na wahamiaji wapatao 25,000, wakiwemo 18,000 kutoka Eritrea. Wengi wao waliingia Israeli kinyume cha sheria kwa kuvuka Peninsula ya Sinai ya Misri. Ukuta wa mpaka wa kusini wa Israel ulikamilika Desemba 2013, na kusababisha kupungua kwa kasi ya wahamiaji haramu nchini humo.

"Tutalinda mipaka yetu," Netanyahu alitangaza Jumapili. "Tutailinda nchi yetu."
 
View: https://www.instagram.com/p/CwwtgnooqEO/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Swali:
Kwa nini Mtu mweusi anakataliwa Kila sehemu? Je Kuna disorder sehemu au?

Hii yote inasababishwa na viongozi walafi wa Kiafrica ambao hawataki kuwahudumia Waafrika wapate maisha mazuri hapa hapa Afrika badala yake wanahudumia matumbo yao
 
Viongozi ndio wanafanya mkomae na tamaduni zao Kwa njia ya hizo dini zenu?
 
Wahamiaji haramu hawatakiwi, si Israel tu bali duniani kote. Israel kama nchi huru, inapaswa kulinda mipaka yake na nchi kwa ujumla juu ya matishio yeyote, Uhamiaji haramu ukiwepo.

Tanzania tu hapo, WaEthiopia na Warundi wanakamatwa kutwa. Wanashtakiwa na kurudishwa makwao.

Kinachoonekana hapa ni Afrika kwa sababu ndiyo idadi kubwa ya wahamiaji haramu wanapotoka.

Acheni kulia lia.
 
Waafrika wasikimbie makwao, bali wakae na kupambana na hawa viongozi walafi. Wasiogope kufa ili vizazi vyao vije viishi kwa amani na maendeleo makubwa. Akina mkwawa hawakuogopa kufa kwaajili ya leo yetu, ila sisi tunaogopa kwaajili ya kesho ilio bora ya vizazi vyetu. Tuamke sasa!
 
Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala.

Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo.

Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu wanapojaribh kuvuka Kwa magendo kwenda Ulaya.

Swali:
Kwa nini Mtu mweusi anakataliwa Kila sehemu? Je Kuna disorder sehemu au?

===

Israel, Tel Aviv: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kujenga ukuta mwingine wa mpaka - wakati huu kwenye mpaka wa mashariki wa nchi hiyo na Jordan - ili kuwazuia wahamiaji ‘haramu’ kutoka nchi za Afrika wanaofurika kuomba hifadhi.

"Tuliweka uzio kwenye mpaka wetu wa kusini (Misri) na kusimamisha uingiaji kutoka huko hadi Israeli," Netanyahu alisema katika taarifa yak. "Kwa hivyo tulisimamisha zaidi ya waingiaji milioni 1 kutoka Afrika, ambao wangeharibu nchi yetu. Sasa tutajenga uzio kwenye mpaka wetu wa mashariki (Jordan) na kuhakikisha kwamba hakutakuwa na upenyaji kupitia huko."

Kiongozi huyo wa Israel ametoa kauli yake baada ya kuitisha mkutano maalum wa mawaziri wake katika kukabiliana na ghasia kubwa zilizowahusisha wahamiaji wa Eritrea siku ya Jumamosi mjini Tel Aviv. Alitoa wito kwa mawaziri wake kuandaa mipango mipya ya kuwafukuza sio tu raia wa kigeni waliohusika katika ghasia za wikendi hii, bali pia wahamiaji wengine wa Kiafrika.

Serikali ya Netanyahu ilikataa kutoa hadhi ya ukimbizi ya waomba hifadhi wengi wa Kiafrika, ikiwataja kama "waingiaji haramu." Nchi hiyo inaripotiwa kuwa na wahamiaji wapatao 25,000, wakiwemo 18,000 kutoka Eritrea. Wengi wao waliingia Israeli kinyume cha sheria kwa kuvuka Peninsula ya Sinai ya Misri. Ukuta wa mpaka wa kusini wa Israel ulikamilika Desemba 2013, na kusababisha kupungua kwa kasi ya wahamiaji haramu nchini humo.

"Tutalinda mipaka yetu," Netanyahu alitangaza Jumapili. "Tutailinda nchi yetu."

Imeandaliwa na Mashirika
Acheni tu hawa Waethiopia, Eritrea na Somalia wabaguliwe. Kwasababu wanasemaga wao siyo Waafrika.

Wasomali huko Morocco na Algeria wanabaguliwa sana na kulialia lakini wenyewe wametutungia jina la matusi "jereel" sisi mabantu na wamatumbi. Na uhakika hata Bashe analitumia sana wakiwa wenyewe. Ukimsikia msomali anakuita JEREEL mpige ngumi au kofi
 
Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala.

Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo.

Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu wanapojaribh kuvuka Kwa magendo kwenda Ulaya.

Swali:
Kwa nini Mtu mweusi anakataliwa Kila sehemu? Je, kuna disorder sehemu au?

=======

ISRAEL, Tel Aviv: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kujenga ukuta mwingine wa mpaka - wakati huu kwenye mpaka wa mashariki wa nchi hiyo na Jordan - ili kuwazuia wahamiaji ‘haramu’ kutoka nchi za Afrika wanaofurika kuomba hifadhi.

"Tuliweka uzio kwenye mpaka wetu wa kusini (Misri) na kusimamisha uingiaji kutoka huko hadi Israeli," Netanyahu alisema katika taarifa yak. "Kwa hivyo tulisimamisha zaidi ya waingiaji milioni 1 kutoka Afrika, ambao wangeharibu nchi yetu. Sasa tutajenga uzio kwenye mpaka wetu wa mashariki (Jordan) na kuhakikisha kwamba hakutakuwa na upenyaji kupitia huko."

Kiongozi huyo wa Israel ametoa kauli yake baada ya kuitisha mkutano maalum wa mawaziri wake katika kukabiliana na ghasia kubwa zilizowahusisha wahamiaji wa Eritrea siku ya Jumamosi mjini Tel Aviv. Alitoa wito kwa mawaziri wake kuandaa mipango mipya ya kuwafukuza sio tu raia wa kigeni waliohusika katika ghasia za wikendi hii, bali pia wahamiaji wengine wa Kiafrika.

Serikali ya Netanyahu ilikataa kutoa hadhi ya ukimbizi ya waomba hifadhi wengi wa Kiafrika, ikiwataja kama "waingiaji haramu." Nchi hiyo inaripotiwa kuwa na wahamiaji wapatao 25,000, wakiwemo 18,000 kutoka Eritrea. Wengi wao waliingia Israeli kinyume cha sheria kwa kuvuka Peninsula ya Sinai ya Misri. Ukuta wa mpaka wa kusini wa Israel ulikamilika Desemba 2013, na kusababisha kupungua kwa kasi ya wahamiaji haramu nchini humo.

"Tutalinda mipaka yetu," Netanyahu alitangaza Jumapili. "Tutailinda nchi yetu."
Tunaonekana kama mizuka, iliyofufuka kutoka wafu.
 
Ukimuona adriz Accumen Mo na Kikwajuni One wanavyotamani kuwa waarabu
Huu uzi hawatokuja kushabuliwa kwa sababu Gallatians ni machawa wa Israeli na Mayahudi ,ila angekuwa Muarabu hapa matusi na dhihaka zingetawala...
Screenshot_20220621_185641.jpg
 
Viongozi ndio wanafanya mkomae na tamaduni zao Kwa njia ya hizo dini zenu?
Hapa unaongelea sababu ya waafrika kukimbilia ulaya au Waafrika kuoga tamaduni za wazungu/waarab? Kwa vyovyote viongozi wanahusika ndiyo maana hata DP inatetewa kidini na viongozi wanafurahia
 
Back
Top Bottom