Jana nimejifunika hiyo neti nimeamka usiku mrefu mkuu nakuta kuna mbuu kama mia na wengine nawashuhudia wanavyopita, so tumeliwa
yaani na wewe ni kati ya waliodanganyika ungejua hizo net walibadilisha na nini usingezi thamini kabisa..Ukisema tumeliwa unanitia uchungu sana, kwani hizo net zilifanya nikagawa kura yangu kwa ccm mwaka jana. Sasa unapozibeza unaniumiza moyoni.

nasikia hizo neti zinapunguza nguvu za kiume,mimi nishazipotezea kitambo sana wadau!

Hapo utaambiwa mabilioni ya pesa yametumika. Wajinga ndio waliwao
Ni kweli ndivyo watakavyokuja na story zao za mafanikio ya kwenye makaratasi wakati hali halisi sivyo.

Si hivyo tu muda si mrefu watakuja na "habari njema" kuwa tumefanikiwa kupunguza cases za malaria nchini....ni baada ya jitihada za serikali kuwagawia net(vyandarua) wananchi....STAY TUNED!
nasikia hizo neti zinapunguza nguvu za kiume,mimi nishazipotezea kitambo sana wadau!
Yani nasema sikio la kufa halisikii dawa....na hili tena ni movie lingine la ''sirikali'' yetu.....mnatuuwa jamani na miradi yenu ya mifukoni....Nasikia hizi net zote ni saizi moja. Ina maana Watanzania wote wana vitanda vya aina moja?. Kwanini wasitoe net za saizi tofauti tofauti.

Yani nasema sikio la kufa halisikii dawa....na hili tena ni movie lingine la ''sirikali'' yetu.....mnatuuwa jamani na miradi yenu ya mifukoni....

Nimepita ushwahilini katika mitaa tofauti nimejionea mafundi vyereani wakizitanua......yani watu wanazi''design'' ili ziweze tosha kwenye vitanda vyao...''Sirikali'' yetu ni uwozo mtupu period.