Net ya Airtel kimeo?

To be honest nimeshakua mteja wa huduma za Internet za Vodacom,Zantel na Airtel 3G na makazi yangu ni Arusha, huduma zote nilizoainisha zipo slow hakuna mfano haswa ukizingatia nature ya kazi yangu ila kwa sasa nimenunua modem ya Airtel 3.75G ina kasi ya ajabu hakuna mfano wake. I used to prefer Zantel over the Vodacom & Airtel but now I am very comfortable with Airtel 3.75G.
 
Wakuu mtasubiri sana kama mnatumia moderm ambazo tayari ume unlock hspda unaipata bila matatizo ila kuna jinsi ya kuseti moderm yako.Manake naka laptop changu nimenda nacho bush speed ile ile.Wajanja wa mjini wanajua nikiwaeleza hapa watatufuatilia hawa watu
 
Back
Top Bottom