Net ya Airtel kimeo?

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa kwangu Kunduchi

Je, kuna wengine waliokutana na hili tatizo?
 
Na hapa Mjimwema Kigamboni ambako ni just 9km from the askari monument, are we out of the 3.75G coverage?

Because for very long time now EDGE has become our only true friend!
 
Kwa kweli Airtel wanaumiza watu sasa, bora waondoe huo mtambo wao unakera sasa, Kunduchi na Mjimwema tuko nje ya 3.75G coverage?
 
Nafikiri wameamua kutubagua kutokana na haya maelezo kwenye Site yao;

3G Service

With your Airtel SIM card you can access 3G service in Dar es Salaam, specifically in the City Center, Kariakoo, Regent Estate, Msasani, Oysterbay, Upanga, Masaki, Mikocheni, Kijitonyama, and Kawe.
Benefits of Airtel 3G service

  • Get better service for both corporate users and individuals, with data delivered at high speeds downloads.
  • Customers will enjoy superior quality for video services, including video streaming and gaming.
  • Enjoy fast Web browsing, with rapid access to graphics-heavy Internet sites.
  • Face to face communication via video telephony

3G Service | Africa

Wengine tulio nje ya maeneo hayo tulie tu si ndio?
 
hayo maelezo yalikuwepo kwenye website yao zamani tu, tokea hata huo uzushi wa 3.57g kuwepo. na kama mlikuwa mnapata high speed, ina maana kuna technical difficulties , si dhanii kama ndio kwa makusudi wamekuondoleeni hiyo huduma
 
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa kwangu Kunduchi

Je, kuna wengine waliokutana na hili tatizo?

Mi kwangu naona ipo vile vile hakuna mabadiliko
 
tegemeana na Bundle uliyonunua, kama unapenda vya bure ukinunua Time Base Bundle(Malipo kwa Muda) maana yake ukimaliza ile bundle yako muda wote unaobakia unabrowse bure lakini speed limit ni 64Kbps ..... Nakushauri utumie VOLUME BASE BUNDLE (Malipo kwa Kifurushi) ambazo ukimaliza ukiwa ndani na nje ya bundle speed ni maximum
 
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa kwangu Kunduchi

Je, kuna wengine waliokutana na hili tatizo?

mbona hapa Tabata IPO fine ikishuka sana kwenye download speed 500kbps... hapo mchana usiku ni noma
 
tegemeana na Bundle uliyonunua, kama unapenda vya bure ukinunua Time Base Bundle(Malipo kwa Muda) maana yake ukimaliza ile bundle yako muda wote unaobakia unabrowse bure lakini speed limit ni 64Kbps ..... Nakushauri utumie VOLUME BASE BUNDLE (Malipo kwa Kifurushi) ambazo ukimaliza ukiwa ndani na nje ya bundle speed ni maximum

Kwani ile unayotuma neno "Internet" kwenda 15444 ni nini, Volume Base Bundle au Time Base Bundle? Hebu fafanua maana ndiyo inayotumika
 
brother piga *154*44#
nyie wa dar ata msiongee.. udom dodoma tunasuasua na GPRS.
HSDPA tunasikia kwa Bomba....
 
jamani huku kiimara nahisi ndo wanachuki na sisi.zamani tulikuwa hata live tv tunaweza kuangalia kwa jinsi spidi ilivyokuwa ya uhakika.ila siku hizi ni mwendo wa EDGE yani ikifika 10kbs ni bahati
 
Of course b4 hawajatambulisha hiyo huduma mpya ya 3.75G net ilikuwa xo fast ajabu but n0w ik0 kama mzee aliyejich0kea
 
To be honest mi kwangu speed imeongezeka napata 3g kama kawa na nipo mbagala huku mabondeni,halafu watu wanaiponda mbagala dah!
 
tegemeana na Bundle uliyonunua, kama unapenda vya bure ukinunua Time Base Bundle(Malipo kwa Muda) maana yake ukimaliza ile bundle yako muda wote unaobakia unabrowse bure lakini speed limit ni 64Kbps ..... Nakushauri utumie VOLUME BASE BUNDLE (Malipo kwa Kifurushi) ambazo ukimaliza ukiwa ndani na nje ya bundle speed ni maximum

ni 128 kbps mkuu sio 64kbps
 
Back
Top Bottom