Net Pay TZS 960,000

Net Pay TZS 960,000

kwa siku ni 32,000/-
Hata dereva wa magari makubwa humpati kwa mshahara huo. Bora niendelee kujiajiri mwenyewe tu, kwanza sikutani na PAYE zao, hapo bado hujakatwa michango ya vyama vya wafanyakazi, hujakopa wakukate nk.

Ukijiajiri mwenyewe TRA mnakutana nao maramoja kwa mwaka, muajiriwa kila mwezi TRA wanahemea mgongoni ukijumlisha kwa miezi 12 muajiriwa anajikuta analipa kodi hata mara kumi ya mwenye duka kubwa Kariakoo.
 
kitu kinachouma wafanyakazi wengi ni huyu jamaa anaitwa PAYEE. ni hatari 30% ya kipato chako unalipa kodi na mbaya zaidi kiasi cha 60% cha mshahara wako unaobakia baada ya kukatwa hifadhi za jamii 10%, bado tena utalipa tena kodi kwenye bidhaa zingine.
 
Mkuu inatosha ukiongea hivyo utazidi kuumiza watu humu ndani.
 
Ukifanya uchanganuzi hamna kitu hapo labda kama mtu analala kwa dingi yake
 
Mkuu inatosha ukiongea hivyo utazidi kuumiza watu humu ndani.

Sio kwel usipotoshe wenzako kwa kitu usichokijua PAYE sio 30%.bal corporate tax ndio 30% na inalipwa kwenye faida tu endapo company imepata faida! So usiwaogopeshe wenzako kwamba PAYE ni kias kikubwa namna hyo!
 
Duh 32,000 kwa siku na una degree? Heri kupiga box tu na form 4 yangu ya 31. Hiyo 32,000 ni kwa dakika 60

Ebu tusaidie ndugu, unatengeneza vipi 32k per hour?? binafsi iyo pesa ni nzuri tu kwa mtu anae jielewa na unaweza uka-invest na ikajizalisha maradufu..
 
Kwa mwaka ni 11,520,000/= ukijiajiri kwa kulima vitunguu eka 4 na mahindi eka 5 unaingiza zaidi ya 16m kwa mwaka

mkuu mi nshaamua kujiajiri...hope nitatoboa tu maana step ya kwanza ambayo wengi wanaishindwa nshaivuka..kukataa kuajiriwa!!!
 
Sio kwel usipotoshe wenzako kwa kitu usichokijua PAYE sio 30%.bal corporate tax ndio 30% na inalipwa kwenye faida tu endapo company imepata faida! So usiwaogopeshe wenzako kwamba PAYE ni kias kikubwa namna hyo!

PAYE iko na Jedwali flani, above anything above 720,000 hukatwa 30%....Yes asilimia 30 ya chochochote unachoingiza over and above 720,000 unahitaji kukilipia 30% kodi.

check calculator hii utaelewa jinsi gani PAYE ni tatizo
Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
 
Hapo bado haujakatwa,take home itakuwa ya kawaida sana.

Mkuu Net Salary maana yake ni baada ya statutory deductions, yaani gross salary toa income tax, toa social security pension fund (mfano nssf, ppf, lapf, pspf) na makato mengine ndo unapata Net Salary ambayo ndo take home.
 
Back
Top Bottom