Nimedownload kaspersky antivirus inahitaji .net framework 4.0 , nifanyeje kuipata?

g vizy

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
896
977
Wakuu habari

Nimedownload kaspersky antivirus hivi punde sasa inaniambia niistall tena .net frame work 4.0 baada ya hapo ndo ipogress sasa nimeidownload imefika mahala imestack aiendelei tena nimesubiri na kusubiri naona iko pale pale

Alafu hii so Mara ya kwanza kuna baadhi ya software nyingine nkidownload huwa inakua hivi hivi inahitaji net frame work ya version flan ukidownload ikifika mahala inastack huwa sijui tatizo ni nini

Kwani hii net framework umuhimu wake hasa ni upi na nifanyeje kufinish installation maana mpaka sasa imeganda tu haindelei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom