KichwaBOGA Member Joined Jun 28, 2020 Posts 15 Reaction score 33 Jul 19, 2020 #1 Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu.
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,722 Jul 19, 2020 #2 KichwaBOGA kwenye ubora wako!
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Jul 19, 2020 #3 Imeisha hiyo
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,698 Jul 19, 2020 #4 Nakataa! Kuna mwenye upendo wa dhati, kuna mwenye uwezo ila anakubali kuolewa na kapuku kwa kitu "upendo wa dhati"
Nakataa! Kuna mwenye upendo wa dhati, kuna mwenye uwezo ila anakubali kuolewa na kapuku kwa kitu "upendo wa dhati"
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,651 Jul 19, 2020 #5 Inategemea,wengine tunapendwa zaidi na wake zetu kuliko wazazi wetu.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,760 Reaction score 86,418 Jul 19, 2020 #6 Na wewe ukiwa huna tako utapendwa na Bibi yako tu maana anajua amepata mtu wa kumrithisha mikoba yake..😅
Na wewe ukiwa huna tako utapendwa na Bibi yako tu maana anajua amepata mtu wa kumrithisha mikoba yake..😅
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Jul 19, 2020 #7 KichwaBOGA said: Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu. Click to expand... 📌📌
KichwaBOGA said: Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu. Click to expand... 📌📌
Ncherry1 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 2,181 Reaction score 2,256 Jul 19, 2020 #8 Mamako mwenyewe labda uwe peke ako mkiwa weng utasimangwa weeee
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,094 Jul 20, 2020 #9 Na wanawake niwaambie tu ukweli pesa zetu zina manyanyaso