goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
I was looking for a father he was gone,
I hung around with the thugs and even though they sold drugs,
They showed a young brother love,
I moved out and started really hanging,
I needed money of own so I started slanging,
I ain't guilty cause even though I sell rocks,
I feels good putting money in your mail box,
I love paying rent when the rent's due,
I hope ya got the diamond necklace that I sent to you,
Cause when I was low you was there for me,
And never left alone because you cared for me,
And I could see you coming home after work late,
You're in the kitchen trying to fix us a hot plate,
Ya just working with the scraps you was given,
And mama made miracles every Thanksgiving. [emoji444]
hii ni moja kati ya shairi inayopatikana kwenye nyimbo ya dear mama, ambayo ilitungwa mwaka 1994 na mwanamuziki nguli wa hip hop marekani aliyefahamika kama TUPAC SHAKUR.
Nyimbo hii inaeleza historia nzima ya maisha aliyoishi Tupac, lakini asilimia kubwa inaelezea thamani ya Upendo wa mama, kwangu nyimbo hii nimeanza kuisikia nikiwa na miaka 10, niliipenda mno hadi sasa na kuipa thamani yake.....
Kwenye mada kuu....
Neno thamani katika mapenzi ni kubwa mno tena sana, ina nafasi yake na uzito wake pia lakini kwa wanajamii ya sasa hawaitambui tena na hawataki kuisikia kabisa, kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia watu wakichepuka unadhani ni kwanini... ?
Kutotambua thamani ya mime / mke kama kwenye uchumba ulimkuta mdada ni mzuri umemuoa amekuwa wa kawaida kanenepeana, hupaswi kuchepuka kwa sababu siyo suhulisho bali ni kuua uaminifu, na ndoa vile vile ni kuishusha thamani ya mkeo, ndoa, na wewe binafsi.
Mfanye awe mrembo kama mwanzo, ili usichepuke, mdada mfanye mumeo awe zaidi ya handsome kama ulivyo mkuta ili usigawe utamu nje, mfanye mumeo aridhike ajue thamani yako mjali hata kama ni mbovu kiasi gani ipo siku mambo yatakuwa vyema, lakini matatizo yote kwenye mahusiano kama,
* kudanga
* kula tigo
* kula mke wa mtu
* kula mume wa mtu
* kupiga mizinga mizito
* kubaka watoto ( viben 10 )
* mashambulizi mabovu ( kushindwa kutosheleza kimapenzi )
* uongo
* huduma mbovu
* kulalamika ( wanaume kusema wanawake wana uke mkubwa uume unaelea juu juu kama puto ) [emoji23]
Yote haya ni kutoelewa thamani zetu binafsi tubadilike au tupunguze angalau kuwe kuna afadhali, tujiheshimu, tujitunze, na kuthaminiana....