Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 540
- 2,226
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe
Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu anaekuomba pesa ila niamini mimi ni neno lenye msaada mkubwa sana kwako ukilitumia,mtu hawezi kukuhoji asa kwanini huna hela na wakati na yeye mda huo hana hela pia ndio mana kakufata wewe.
Kuna jamaa kanisumbua sana 30k yangu hataki kunilipa,Kazi tunafanya ni Moja,ugumu wa kupata hela anaujua..ila akawa anajifanya mjanja...siwakaanzisha mchezo afu wakanichagua niwe nawawekea hela linapofika jina nampa anaepokea kwa kuwa wananiamini...nikasema hapa hapa na fyeka na hela yangu ilipofika zamu yake.
Alilalamika.,,,Kuna watu wanajua kulalamika aisee.