Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Waweza jumpa mtu yeyote shkamoo japo ktk jamii zetu zaidi ni kwa wakubwa. Pia sidhani kama neno shkamoo lina maana kwa kingireza
Nijuavyo mimi ni neno la kumpa heshma mtu aliyekuzidi umri.Sasa maswali yangu ni
1.ni kuanzia tofauti ya miaka mingapi ndo unaweza kumpa mtu neno hli.
2.Na pia kwa kizungu tutasemaje?
mmm shika-mo touch inside
mara-haba few times
nzuri zaidi kwa jinsia tofauti, salamu hunoga.
Waweza jumpa mtu yeyote shkamoo japo ktk jamii zetu zaidi ni kwa wakubwa. Pia sidhani kama neno shkamoo lina maana kwa kingireza
Ni kweli kabisa TaiJike, na naomba niongezee. Kwa sababu ya historia hiyo ya 'shikamoo' hakuna tafsiri yake ya kiingereza.Shikamoo ni neno lilotokana na kiarabu enzi za utumwa, na maana yake ni kuwa niko chini ya miguu yako. Hapa ilikuwa ni bwana na mtwana.
AiseeEti kuna mtu nikamuuliza na yeye fasta akajibu eti GOOD MORNING Hahahaha