hahahaaa!!! mamii nimekulikumbuka sana hilo neno! '' nenkohanhere ono mwiseke.. tamasaha omoyo ghone ghote ghoghwi tebheta ghwitimo''! lols! hapo mtoto wa kike hachomoki kulaleki...!!!..
wahaya wanasema.. '' ninkwenda KOKUTONA'' lols! hii ilinisaidia sana wakati niko vitani Bukoba!
mpaka leo natafutwa eti niende muleba kuoa jamani!... cc.. KOKUTONA n kyanaKyoMuhaya! molinka wakazi wange? lols! ... moli balungi sana..! mwamanya kweli hilo?