Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Nakupenda sana VAILETH , najua unaisoma coment hii
[emoji16][emoji16][emoji16]nakazia
Salama?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120]Nawapenda nyote
Alhamdullilah imekuwa salama,Salama?
AsanteeeeAlhamdullilah imekuwa salama,
[emoji101]Napenda kulitumia ila mpaka nimaanishe. Kuna watu watatu tu ndo nawaambia hili neno.
Hahahha..na kweli,..na mwingine kukujibu nakupenda pia ni suala lingine maana anaweza kukujibu kukamilisha tuu ukamilifu wa sentence lakini hamaanishi...mwingine anajibu "ahsante" hahhaah aiseee...ngoja tuendelee kulima mbogamboga kumekuchaa[emoji125][emoji125]Kumwambia mtu NAKUPENDA ni jambo moja.
Kumaanisha kwamba kweli unampenda mtu ni jambo lingine lililo gumu zaidi.
AhahahaaahaHahahha..na kweli,..na mwingine kukujibu nakupenda pia ni suala lingine maana anaweza kukujibu kukamilisha tuu ukamilifu wa sentence lakini hamaanishi...mwingine anajibu "ahsante" hahhaah aiseee...ngoja tuendelee kulima mbogamboga kumekuchaa[emoji125][emoji125]
Hahaha pole saana,.kama unampenda kweli halafu akakujibu hivyo,duuh!!!Ahahahaaaha
umenikumbusha juzi juzi kuna binti nimemwambia NAKUPENDA akaitikia Thanks.
Baby[emoji101]
Unapenda jina au ID. [emoji23] [emoji125] [emoji100]Ninakupenda sky Eclat