Neno moja rafiki yetu King Kong III

Neno moja rafiki yetu King Kong III

hii kiume...faida zake nyingi sana
1.majambazi hawasogei home
2.atakayeiba mke wa king ni sawa na aliyepark gari kwenye reli
3.mkewe lazima aogope vidumu maana hakumbuki lini mumewe alicheka
4.naamini kwenye foleni za benki,hospital huwa hausiki ye anapishwa tu
5.ikitokea bahati mbaya akienda jela nyampara hana usumbufu kwake

msipende sana kuwapamba watu kwa misifa lukuki inaweza kuwa vice versa.si umeyasikia za michael scofield?sura ya nje isikubabaishe
 
Yaani akikasirika cjui inakuaje mtu kama huyo ata kumsalimia waogopa lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
watu bana! mbona hb hivyo, katika ukoo wao huyo ndio babyface. KING KONG III njoo bana tena uje unacheka
 
Back
Top Bottom