Neno moja kwa mmiliki

Neno moja kwa mmiliki

Mkuu kwanini paka hutumiwa sana kwenye ulimwengu wa roho wana nini hasa cha ziada ambacho wanyama wengine hawana??
Paka hutumiwa sana kwenye ulimwengu wa roho kwa sababu ya mchanganyiko wa sifa zao za kipekee za kibayolojia (kiasili) na imani za kale za kiroho ambazo huwapa uwezo wa kipekee tofauti na wanyama wengine.

Katika jamii nyingi duniani, paka hachukuliwi kama mnyama wa kawaida tu, bali kama kiumbe anayeishi kwenye mistari ya mpaka kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho
 
Nakumbuka nyumbani walikuwa paka weusi wengi sana
Ila napiga na hawaondoki
Hakuna ninachoona zaidi ya kelele zao za kukuza familia
Ni generation ya 50 naona, maana hawabadiliki
Siamini ushirikina bali nawaona kama viumbe wa kawaida tu wanaoishi na binadamu

Bundi ningefuga ila ni ngumu kuwafuga maana hawafugiki kama kuku
Wanataka kuranda na kula mijusi na panya au nyoka
Nyama ya kawaida hawali bali wanapenda kuwinda
Tatizo lingine ni kelele zao za usiku
Kuamini haya mambo inataka moyo
 
Bundi ningefuga ila ni ngumu kuwafuga maana hawafugiki kama kuku❗
 
Back
Top Bottom