Are you sure? Vifaa gani vya kichina tulitumia? Nilikuwa jeshini wakati wa vita vya kagera naomba unieleze ni kifaa kipi cha kichina tulitumia. Vifaa vingi tulikuwa tunatoa Western countries labda hizi bunduki ndogo ndogo. Nitajie kifaa tulichotoa china. Hata vyombo vya maji na chakula tulitumia vya Israel wakati tulishavunja uhusiano nao.