Neno moja kwa dogo

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,832
2,000
Mbwa kala chakula cha sumu dogo kaanzisha msiba
FB_IMG_1550543721414.jpeg
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,832
2,000
Mwenyezi Mungu ana maksudi yake kwa Kila jambo.... hvyo hatuna haja ya kubeza uumbaji wake. ....
Mbwa ni kiumbe rafki sana wa binadamu inauma sana pale kiumbe rafki kinapotoweka
Lakini kuna watu wana imani na dini yao wanasema yeye ni haramu hata kuliko mbuzi wa dini ya vatican, tena wanasema yule mweusi tii pua yake yale majimaji ni hatari zaidi ya shetani
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,438
2,000
Mbwa kwa wazungu wanavyowachulia ni tofauti na sisi. Nilipata shost mzungu alikuja kama mtaalamu wa shirika fulani. Huyu dada alifuga mbwa wawili alitoka nao kwao.

Hawa mbwa waliringa na kudeka, ukiingia ndani kama wako kwenye kochi wala hawastuki ni wewe ndiyo utafute pa kuweka kalio.

Kazi ilikuwa mataulo walichanganya, akisha waogesha ana wafuta na taulo kisha anakifua kwenye mashine. Mashine hiyo hiyo anafulia mataulo ya jikoni ya kukaushia vyombo.

Ndipo nilipoacha kula kwa shost, hata kikombe cha chai.
 
Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076

Huyo ndio alikuwa ananifaa awe best yangu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
21,843
2,000
Mbwa kwa wazungu wanavyowachulia ni tofauti na sisi. Nilipata shost mzungu alikuja kama mtaalamu wa shirika fulani. Huyu dada alifuga mbwa wawili alitoka nao kwao.

Hawa mbwa waliringa na kudeka, ukiingia ndani kama wako kwenye kochi wala hawastuki ni wewe ndiyo utafute pa kuweka kalio.

Kazi ilikuwa mataulo walichanganya, akisha waogesha ana wafuta na taulo kisha anakifua kwenye mashine. Mashine hiyo hiyo anafulia mataulo ya jikoni ya kukaushia vyombo.

Ndipo nilipoacha kula kwa shost, hata kikombe cha chai.

Tatizo nawewe ni sukununu sana,na ungeendelea kuchunguza zaidi huwenda walikuwa wakila pamoja usipokuwepo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom