Neno la Shukrani

Daa,,,pole sana ndugu yangu mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mama yetu
 
Pole sana Ndugu....!!Dunia hii ni mapito,sote tupo njia moja....
 
Amen
 
Pole sana mkuu,mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Amen!
 
Pole mkuu mshana kwa kumpoteza mama

Najua ni jinsi gani uwepo wa mama unavyochochea mtu kujituma zaidi

Mungu akupe ujasiri, akupe uvumilivi, akupe subra, akuepushe na mawazo potofu

Uwe imara, tuenndelee kuipamba dunia ambayo siku moja itatutafuna

Song for you

THIS World is not our home...
 
Pole Sana Mshana, Mwenyezi Mungu Awape Moyo Wa Ujasiri Na Uvumilivu Katika Kipindi Hiki Kigumu Kwenu, May Her Soul Rest In Peace
 
Pole Sana Mshana, Mwenyezi Mungu Awape Moyo Wa Ujasiri Na Uvumilivu Katika Kipindi Hiki Kigumu Kwenu, May Her Soul Rest In Peace
Asanteni sana

 
Reactions: BAK
Pole sana Mkuu mshana jr. May God rest our beloved mother's soul in eternal peace.
 
Amin umepoteza kitu kikubwa mnoo brother, lakini yote ni mipango ya Mungu,,, pumzika kwa amani mama yetu
 
Pole sana kaka,
Mama tulimpenda ila mungu kampenda zaidi,
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…