Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu,

Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa

Neno ni kutoka Matendo 27:25

"Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
SaveClip.App_587814211_18552846814050432_672030387667117437_n.jpg
 
kwamba ni suala la muda tu tunaenda peperusha bendera nusu mlingoti siyo?
 
Yatakuwa yakeyale tu ya utekaji na uuaji.Inabidi tuchukie hatua mapema ya kumdhibiti
 
Back
Top Bottom