Neno la leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno la leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 30, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  Mnamo tarehe 20 Julai 1969, Mamilioni ya watu ulimwenguni waliweza kuangalia katika Televisheni zao mtu akitembea juu ya mwezi, na mtu huyo akiwa mwezini alisema maneno yafuatayo, "Hatua moja ndogo kwa mwanadamu, lakini mruko wa masafa marefu kwa binadamu" Wewe unaelewa nini katika kauli ya Mwana-Sayansi huyo! Ebu njoo tuitafakari kauli yake, pengine itatusaidia maishani
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona unawazungumzia Chadema walioanza kunyukana huko BAVICHA, kama tumeshuhudia vunja mbavu ile basi tusubiri Tsunami ya kitimtim cha minyukano na kutoana macho katika nafasi ya uenyekiti ambao ndio (mruko wa masafa marefu kwa binadamu)
   
Loading...