NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu)

NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu)

na wabarikiwe sana! tena waongezewe umri, wapate kushuhudia mema yajayo baada ya uongozi wao batili! maana MUUMBA JUU anaona yote! na hakika ATATENDA! AMEN!
 
Walaaniwe wote wanaoiombea CHADEMA mabaya na watu wote tuseme AMEN......

Walaaniwe wote wanaojaribu kuwa wanafiki kwa mioyo yote na kuona kwamba POLISI wamefanya kazi yao kwa kuua watanzania wasio na hatia na kuona kwamba CHADEMA ndio wamesababisha Mauaji kwa kukaidi amri za polisi, na watu wote tuseme AMEN........

Walaaniwe wote wanaopokea pesa chafu kutoka pale LUMUMBA na kutumwa kuja kuchafua hali ya hewa JF kwa maslahi ya mafisadi wa CCM na watu wote tuseme AMEN........

Walaaniwe wote wanaomwombea na kumsingizia mambo ya UONGO kiongozi wetu mzalendo wa kweli Dr Slaa, na CHADEMA kwa ujumla na watu wote waseme AMEN.......

Walaaniwe wafuasi na viongozi wote wa UPINZANI wanaopambana na CHADEMA badala ya kupambana na CCM na watu wote tuseme AMEN....

Walaaniwe wote watakaosoma thread hii na kuanza kutoa maneno ya kejeli dhidi yangu, na chama changu cha CHADEMA na watu wote waseme AMEN....

Na walaaniwe wote wanaovurumishia wenzao matusi kwa kutoa hoja against CDM......woooooote tuseme.. Aaaaaaaameeeeen.

Walaaniwe CDM kwa kuwa imebainika kuwa ni makuwadi wa Mafisadi wa CCM. Wote tuswme Aaameen.
 
Na walaaniwe wote wanasingizia kwamba nchi hii inaongozwa kwa kauli za viongozi wa dini flani wakati viongozi wakuu wote wa nchi ni wa dini yao.
 
ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
 
Back
Top Bottom