NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NENO LA LEO (Usifungue kama haikuhusu)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by THE GEEK, Sep 12, 2012.

 1. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walaaniwe wote wanaoiombea CHADEMA mabaya na watu wote tuseme AMEN......

  Walaaniwe wote wanaojaribu kuwa wanafiki kwa mioyo yote na kuona kwamba POLISI wamefanya kazi yao kwa kuua watanzania wasio na hatia na kuona kwamba CHADEMA ndio wamesababisha Mauaji kwa kukaidi amri za polisi, na watu wote tuseme AMEN........

  Walaaniwe wote wanaopokea pesa chafu kutoka pale LUMUMBA na kutumwa kuja kuchafua hali ya hewa JF kwa maslahi ya mafisadi wa CCM na watu wote tuseme AMEN........

  Walaaniwe wote wanaomwombea na kumsingizia mambo ya UONGO kiongozi wetu mzalendo wa kweli Dr Slaa, na CHADEMA kwa ujumla na watu wote waseme AMEN.......

  Walaaniwe wafuasi na viongozi wote wa UPINZANI wanaopambana na CHADEMA badala ya kupambana na CCM na watu wote tuseme AMEN....

  Walaaniwe wote watakaosoma thread hii na kuanza kutoa maneno ya kejeli dhidi yangu, na chama changu cha CHADEMA na watu wote waseme AMEN....
   
 2. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amen...
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni!!!!
   
 4. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Amen! Amen! Amen
  Amen! Amen!
  Amen!
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Idd amen dada! Mie mwislam sisemi amen
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kulaani hata siafiki.
   
 7. m

  mwl JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 180
  hawajalaaniwa wako wasifu wao ni huo je laana ikiwashukia niaje?
   
 8. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,894
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Si yamekugusa?
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,894
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Ameeni!
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  a a a a a a a me me me me me meeeeeeeeeeeee eni ni ni niiiiiiii?????? Mbona nimeshikwa ghafla na kigugumizi??
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ongeza na hii hapa:


  Na walaani wote wale wanaodai Chadema ni chama cha kidini!
   
 12. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ameen. . .AMEEEN MTUMISHI. . .
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  "Barikini wala msilaani kwa vinywa vyenu",said Jesus Christ.
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Amen! amen! amen!
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  duuh we kweli mwana chadema...
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ameen! Ameen mungu tuongozeeee Amen Amen!
   
 17. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  ongeza na hii : Walaaniwe wote ambao wanafikiri kuna mtu atakuja kuleta mabadiliko nchi hii ili wengine wafaidike badala ya yeye na wanaomhusu ,hata kama katoka chama gani!
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,657
  Trophy Points: 280
  doh! humu ndani kumbe kuna Mitume
   
 19. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Daaahh. Ya 5 nimeipenda... Wapinzani wengne wanafiki tu.
   
 20. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hilo ni onyo??? Wazo?? Laana??? Baraka??? Au malalamiko??
   
Loading...