Neno la leo: The Perfect Guy


nimependa mtazamo wako miss neddy hivi ulikuwa wapi?

Hapo bold, do you think inawezekana/kuna mtu wa hivyo/mtu wa hivyo anaexist?
 
Last edited by a moderator:

Nimedandia hoja hapo Fixed Point, hivi wewe na Kaunga nani senior kwa mwenziye.....
 
Last edited by a moderator:

You are welcome.
 
mimi nimeangalia hii signature yako, nikaipenda,.....ina ujumbe mzito sana kijana wangu

"One day your eyes will open and your mind will learn,with pain and laughter,you will know what you are."
Ni ujumbe mzito kwakweli mkuu. It's a poem.
 
Niko shambani napalilia mahindi na kumalizia kuweka mbegu za mpunga maana mvua zimechachamaa sana

Ila nataka niwaambie neno moja tu kuwa,binadam tunahangaika kuwatafuta wakamilifu kwasababu hatujiamini na ni dhaifu sana

Ukiona unaanza kuweka vigezo vya ajabu ajabu kwenye kutafuta mwenza jua wewe una matatizo mengi sana

Mtu anaejitambua hana haja ya mtu mkamilifu kwani anaweza kuishi na yoyote

Ngoja niwape kauli yangu kuwa,kama MWANAUME asie cheat,kunywa na kutokuvuta basi mimi ni perfect sanaaaaa

Kaizer hebu mwambie Ennie apokee simu,mwambie kale ka jamaa kake ni perfect kama wewe . . . . . .lol

Ngoja nirudi shambani kwanza . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:

Hahahah, sauti yako inaongea zaidi ya silabu unazizitamka. LOL
Careful next time when u talk to Kau, l can penetrate right thru ur masikio mpaka ubongoni. LOL

Kubrag about perfection ya mwenzako ni mbaya, na hata kutegemea uperfect for ur own standard ni mbaya pia. But you can translate kila kitu chake as perfect. Yaani you make them in ur brain as perfect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…