Neno La Leo: Kuna Wasiojua Kushinda Wala Kushindwa

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu Zangu,

WENYE kustahimili mara nyingi hufanikiwa mwishoni. Na kamwe, huwezi kushinda kama hushindani. Na njia nyepesi ya kuepuka kushindwa ni kutoshiriki ushindani. Lakini, wale wasiojaribu, wasiopambana, wasioshindana, basi, tayari wameshashindwa. Ndio, katika dunia hii, kuna wasiojua kushinda wala kushindwa. Usiwe mmojawao. Na hilo ni Neno La Leo.
Maggid,
Iringa
Jumatatu, Februari 14, 2011
mjengwa
 
Back
Top Bottom