NENO kwa wana CHIT CHAT wote

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
249
Zaburi 121


1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
 
Asante kwa neno mkuu, nimesikia neno la hotuba ya heri alotoa Yesu mlimani church nikichanganya na hili lako basi siku yangu inajazwa upako na wema wa bwana!
 
Mbona tayari wapo!? Uzuri wanapigana na wenzao!


Najua kabisa kuwa wapo ndio maana nikauliza nimesikia wanataka kumpa uongozi kijana tangu waliposikia ameachana na Ndofu na ana Mpango wa kuchukua jumla dada yao..
 

Amen,ubarikiwe!!
 
....asante sana mkuu....zaburi hii hunitia nguvu sana niisomapo....ubarikiwe


.
 

amina mtumishi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…