Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Unakuwa hujashinda ila angalau unaweza ukakufanya ukauliza mara mbili mbili kama ulichoambia kinamaanisha.
Sasa mkuu ukisema kusonga mbele si utasonga mpaka ukishtukia umri umekwenda.Maisha ni full of vita .... hautakiwi kua lege lege kwa jambo lolote, kama manajeshi vitani, amri niku songa mbele tu, ukirudi nyuma umeumia
Sasa mkuu ukisema kusonga mbele si utasonga mpaka ukishtukia umri umekwenda.
Haya bana mkuu uwe na wakati mzuri.Unasonga mpake pale adui yako anapo kua ametoweka, ili ukae kwa amani, Maumivu yanakuwepo, ila lazima tuyashinde
PoleKuna dem flan nlikuwa namfkuziA. Cku Moja nampigia cm.. Et. Ooh cjisikii kuongea na we...dah. Niliumia sana....