Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
halipo
NITAKUFA NA WEWE!!!! (Huku kabana pua)Ni neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu
Aisee, kuna kitu nataka nikwambie...Baby nikwambie kitu.....
Ukijiloga ukisema "nambie"
Ukija kushtuka ushaombwa hela
LolEti kuvua nguo hahhahaha
Tafuta hela Kwanza ndipo tue pamojaNi neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu
baby nikwambie kitu??Ni neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu
baby siku nyingine.Ni neno gani unaogopa kusikia katika mahaba..??
1.mie nawe basii..
2.najuta kua nawe
3.tunahitaji kuongea
4.haukua chaguo langu