Neno gani unaliogopa katika mahaba..

Neno gani unaliogopa katika mahaba..

Unakuwa hujashinda ila angalau unaweza ukakufanya ukauliza mara mbili mbili kama ulichoambia kinamaanisha.

Maisha ni full of vita .... hautakiwi kua lege lege kwa jambo lolote, kama mwanajeshi vitani, amri niku songa mbele tu, ukirudi nyuma umeumia
 
Kuna dem flan nlikuwa namfkuziA. Cku Moja nampigia cm.. Et. Ooh cjisikii kuongea na we...dah. Niliumia sana....
 
Yani nikambiwa i love you naogopa Sana

I won't leave you ndo nachanganyikiwa kabisa
 
The number you calling is busy...
After 20 minutes
Number busy
After 1hour
The number your calling is with another call
Unaweza ukazimia kwa presha
 
Baby, we need a serious talk.. ( vyenye tumbo linachemkaaa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom