Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,970
- 168,908
Naogopa kusikia hilo nenokwann hauna
Naogopa kusikia hilo nenokwann hauna
Twende outBaby nikwambie kitu.....
Ukijiloga ukisema "nambie"
Ukija kushtuka ushaombwa hela
Una mpango gan na mimiBaby nikwambie kitu.....
Ukijiloga ukisema "nambie"
Ukija kushtuka ushaombwa hela
Ya kweli hayo [emoji2] [emoji2]Siogopi neno lolote kwakeli.
Ya kweli hayo [emoji2] [emoji2]
Kufa haufi ila maumivu nayo pia huyaogopi mana kuna maneno unaweza kuambiwa ukashindwa hata kula. [emoji124]Kweli kabisa .... Kwani ukiogopa kifo haufi ?
Kufa haufi ila maumivu nayo pia huyaogopi mana kuna maneno unaweza kuambiwa ukashindwa hata kula. [emoji124]
Unakuwa hujashinda ila angalau unaweza ukakufanya ukauliza mara mbili mbili kama ulichoambia kinamaanisha.Kiwango cha uoga kina determine uwezo wa mtu katika kufanikiwa kwake ..... Ukiogopa unakua umeshinda kwani ?