Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,601 Reaction score 20,502 May 9, 2022 #1 Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa. Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa. Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
Kijakazi Platinum Member Joined Jun 26, 2007 Posts 10,414 Reaction score 17,704 May 9, 2022 #2 Ukuta wa kuzuia maji!