FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,867
- 5,064
Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa "Ogopa tapeli".Je hivyo ndiyo ilivyo au hili neno lilikuwepo kabla?.