Waswahili walitohoa neno afande kutoka neno la kituruki effendi neno lenye maana ya cheo fulani katika jeshi la askari wa kituruki.Jeshi la kijerumani la afrika mashariki (German East Africa) lilitumia askari wa kituruki katika vita vilivyopiganwa Afrika Mashariki na neno effendi likatumika sana.