2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE.

Clemalus

Member
Dec 23, 2016
23
30
1.yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.
2.umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba
3.umefanya tujue kulikuwa faru john na faru hadija yatosha baba
4.ajira imezidi kuota mbawa,baba wasalimie mwambie 2017 akija anisajili kuwa mwanasiasa huenda nikapata dili.
5.tumeshuhudia homa ya zika ikileta kizaa zaa nenda baba
6.tumeshuhudia wimbo mpya wa taifa muziki-darasa,acha maneno nenda 2016
7.tumeshuhudia watu wa dar wakitamani kurudi mikoani wasijue kote namba zinasomeka nenda baba
8.baba kugombania rimoti na watoto ,ataenda wapi pesa hakuna acha atulie kama daktari wa zamu..nenda baba
9.tumeshuhudia ufunguzi wa daraja jipya na watu tunakesha kufanyia shooting na kupiga picha, tuliliona wapi asante baba
10.tetemeko likawatesa ndugu zetu wa kagera na watu wakataka kupiga pesa kupitia mgongo wake ,2017 usifanye kama mwenzako baba
11.mvua za masika nazo zimekuwa adimu sijui nazo zinahakikiwa? nenda baba
12.sijasahau bomberdier zikanunuliwa watu wakaziita panga boy asante baba..
13.simba wakaongoza ligi ,kaa nao baba wamekuwa wagumba muda mrefu
14...........2016 nenda baba
 
Uchochezi!
 
14. Matamko yamekuwa mengi sana, ila utekelezaji hakuna...nenda baba
15. Ukilalamika maisha magumu unabatizwa jina la mpiga dili wakati sijaajiriwa na ni mtu wa kawaida tu, sina hata ajira...nenda baba
16. Ukitaka kuongea ukweli, mfuko wa kulia wa suruali inabidi uwe na mil 7,..nenda baba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom