Nenda tu Aprili, tunashukuru

Meja M

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
628
560
1: Tumeshuhudia kigo cha pambo la video Masogange, watu wakazimia huku wameshika vitambaa dah bongo muvi hii..nenda tu april

2: Tumebahatika kuona waliozalishwa wakatelekezwa wamejaa kwa mjomba ila hatujui wamepotelea wapi...april tutakukumbuka

3: Yakatangazwa maandamano,kikatangazwa kipigo cha mbwa koko tukanywea...kweli nenda tu April

4:Mwanasiasa akageuka mwalimu wa hesabu akapata matumizi ya fedha kwa kutumia MAGAZIJUTO...april umetuonyesha mengi

5: Yanga wakafuzu hatua ya makundi lakini wakaambulia kuwa timu ya kwanza kufungwa tangu Dodoma imetengazwa kuwa jiji...tembea na simba baba wamekua wagumba muda mtefu...asante april

6: Mbunge wa darasa la saba akawaokoa wenzake wakarudi kazini...hongera sana april

7: Kumetangazwa kupimwa tezi dume wanaume hakuna amani tena nani atakubali...kwanini lakini april??

NENDA TU..ASANTE KWA USHIRIKIANO WAKO..!!

Muage april kwa alichokifanya hutakisahau. !!
 
Back
Top Bottom