Nenda tu 2016, tunashukuru

Ahahahaha, kweli JF never boring..... Nimeipenda namba 11 Ila namba 13 wanajifariji tu....
 
Mwaka 2016 umekuwa na vituko vingi baadhi yake ni;

1. Umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas.

2. Umefanya tujue kulikuwa Faru John na Hadija waliopewa umuhimu kuliko maisha ya binadamu.

3. Ajira imezidi kuota mbawa

4. Tumeshuhudia tetemeko likiwatesa ndugu zetu wa Kagera.

5. Mvua za masika nazo zimekuwa adimu sijui nazo zinahakikiwa?

Ongezea vituko vingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom