Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,518
- 31,473
Since a kid, used to feel like an outsider.
Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa.
Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni.
Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa?
Kweli, the system wasn't designed to make us presperous, but slaves who made it.
Uweke imani mbele, tusitengane..
Sometimes I wish kungelikuwa hata na community ya like minds.
But, ndo hivyo kila mtu anajaribu kufanya kazi kwenye hii hii system ambayo iko desinged kumfanya awe slave.
Ila, aisee I long for a life better than this.