Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu

Kamati ya ulinzi na usalama ina watu wengi kiongozi wengine wanapokea amri wengine ni kuandika tu na kuzipa mamlaka zingine kwa hatu unalijua hilo. Je unaushahidi hawakutimiza majukumu yao???
Ilitakiwa wayakatae maagizo hayo sabaya sio muajiri wao wala hana mamlaka ya kuwawajibisha.
Kwa hio alikuwa anapewa tu silaha akafanye uhalifu sababu tu kaagiza
 
Kama unaishi nao mtaani weka picha tuone hayo masikio yaliyokatwa na Sabaya.
Sio kazi yetu kudhalilisha watu hapa JF

JF ina sheria zake, na picha zina matumizi yake

Hao ni Binadamu hatuwezi zidi kudhalilisha watu hapa JF

Ulienda shule ili uwe na upeo mpana wa mambo, Nenda Hai na Arusha kafanye utafiti ndio lengo la wewe kupelekwa shule

Mtu mjinga ndie analazimisha kuletewa taarifa mdomoni

Ishu za Sabaya zina miaka mingi, Mama ameona yamezidi tu na wameamua kuchukua machache

Story za Sabaya zipo hapa JF kitambo sana, Sio kazi ya JF kukutafutia uzi, Tafuta soma
 
Hii nchi ilifikia mahala Pabaya sanaa, imagine huyu alikuwa ni mteule wa rais aliyekuwa akihubiri kutetea wanyonge na kwamba eti yeye ni mcha Mungu...
Sabaya bashite jiwe walijifichia tu kwenye kichaka hicho SAwa na mchawi na jambazi kukesha kanisani
 
Sabaya bashite jiwe walijifichia tu kwenye kichaka hicho SAwa na mchawi na jambazi kukesha kanisani
Mambo yanabadilika na kwenda kasi sana, kutoka kwa wapenda mabadiliko wa kweli mfano wa akina 𝗦𝗮𝗮 𝗡𝗮𝗻𝗲 na sasa hawa ndezi aina ya 𝗦𝗮𝗮 𝗕𝗮𝘆𝗮
kushughulikiwa na vyombo vilevile vya dola!
 
Mahakama pekee ndiyo itathibitisha tuhuma dhidi ya Sabaya kuwa za kweli au uongo.
Hayo mengine mnayoyaleta mitandaoni ni "propaganda" tu za kisiasa.
Kuna kitu kinaitwa, "cyber bullying" na kuna wahuni wanaweza kutumiwa na "wahuni" wa kisiasa ili tu kumchafua mtu fulani kwenye mitandao.
Ni dhahiri na wazi kuwa CHADEMA mnachuki binafsi na Sabaya na mmeamua kumchafua.
 
Hayo hayatuhusu sisi
Kelele za watu zimesikika huo ndio ushindi mkuu wa JF

JF imeshinda na itaendelea kushinda

Ameshinda kesi hana kesi hayo hayatuhusu sisi

Kazi tumemaliza kwa Jamaa kulala mahabusu na kukaguliwa kwenye makalio
 
Hayo hayatuhusu sisi
Kelele za watu zimesikika huo ndio ushindi mkuu wa JF

JF imeshinda na itaendelea kushinda

Ameshinda kesi hana kesi hayo hayatuhusu sisi

Kazi tumemaliza kwa Jamaa kulala mahabusu na kukaguliwa kwenye makalio
Nonsense!!
 
Alikiri wapi? lini? kwa kutumia nini?

Alikiri kwenye television ama wapi?

Una video au sauti inayothibitisha kuwa alikiri?

Niandike kwa kizungu: Do you have a voice note, a video or something?

Mbona unaniwekea mapicha ya bavicha?
Pumbafu wakwambie ww nan zaid ya kuwa zombie la mwendazake?What a foolish fool
 
Nonsense!!
Ameogopa kuoga kule
Watu wanatembea na mafuta sikioni

Angeoga tu watu wangetereza nae

Kama una uchungu Nenda kalale nae

Tarehe 18 utamuona ana sura gani ndio utajua jela hapafai

Hakuna mto wa kulalia mahabusu

Hakuna kitanda kule

Choo ni Debe na mnatumia watu kibao
 
Alikiri wapi? lini? kwa kutumia nini?

Alikiri kwenye television ama wapi?

Una video au sauti inayothibitisha kuwa alikiri?

Niandike kwa kizungu: Do you have a voice note, a video or something?

Mbona unaniwekea mapicha ya bavicha?
Kwa taarifa yako hao hao Bavicha ndio walikuwa wahanga wake wakubwa. Kama Mwenyekiti wao wa chama ndiye aliyemfanyia unyama namna ile sasa hao Bavicha ni nani.

Huyo Sabaya na huyo aliyempa hiyo kazi hawakuwa watu ila walikuwa ni mashetani kabisa wenye sura ya binadamu.
 
nimegundua maeneo yenye wafuasi wengi wa CHADEMA kuna watu waoga sana mfano Tarime waliwahi kutishwa na mtu mmoja anaitwa KINOKHE wakawa wanalala saa 9.30 mchana-akiwemo Heche. Arusha na HAI chini ya kamanda Lema na Don Mbowe wamenyamazishwa na mtu mmoja tu Sabaya walafu wanjiliza hapa kuwa wamebakwa wamebakwa- Nyamazeni Mama SSH afanye kazi yake muuone CCM inavyotekelza utawala wa sheria bila kuonea mtu.
 
Wizi na unyanganyi wa kutumia silaha Ni kesi ndogo kwako?kwa wengine ukikutwa na kesi km hiyo lazima uage kwenu sababu ndiyo umepotea hvyo.
Labda una maana kubwa KUWA kwa CCM hiyo ni geresha tu.
Mashtaka madogo sana
 
Weka ushahidi acha porojo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…