Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu

Wanashangaza sana hawa.

Tuhuma wanaziweka mitandaoni, lakini wakiulizwa wanakimbia kimbia wanasema tuende kwenye vyombo husika.

Mara sijui majalada yapo kwa afande gani huko!

Hawa watu wa mtandaoni bwana wanachekesha kweli kweli.
Mdhamini wenu mambo yake imeisha hebu jaribun kubuni kazi za kufanya,mlishazoea kuvaa suti na kupangiwa kazi za utapeli na huyo basha wenu
 
Vyombo husika maana yake nini?

Nyinyi mnaoleta hizi habari uchwara mitandaoni hamkujua kwamba kuna vyombo husika?

Tukiwajibu ndio mnakumbuka kwamba kuna vyombo husika?
Sasa hivi unakata mauno tu humu akipigwa mvua ya miaka jela ndo utajua ushahidi upo au haupo
 
Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo

Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na Wengine kukatwa masikio, Wengine uliwasaga vidole Sabaya Leo wanashindwa kutembea

Nashangaa hujasomewa bado haya mashtaka wewe na Kikosi chako cha mabaunsa

Hata kama ulitumwa au ulirogwa, Hakuna aliyekutuma kubaka na kukata watu masikio

Sabaya hakuwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu, Alijawa unyama na alitapakaa damu mkononi mwake

Nenda Sabaya Gerezani, Mashtaka uliyosomewa ni kidogo sana hayakidhi kiu ya watu wa Hai na Arusha

Watu wa Hai na Arusha bado tu nashangaa mamlaka kwanini hawajamsomea mashtaka ya utekaji, ubakaji, na unyanyasaji

Hata kama hujasomewa mashtaka na Mamlaka yanayogusa maumivu na ulemavu uliowaachia watu wa Hai na Arusha kuna siku na wewe utakatwa mikono, masikio na kusagwa vidole kama ulivyowatendea watu wa Hai na Arusha

Mamlaka ushahidi mnao, Magazeti yote yameenda Arusha na Hai na kukutana na walemavu wanaoguza majeraha. Gazeti la mwananchi la tarehe 05 June limefanya mahojiano maalum na wahanga walioachwa ulemavu wa kudumu na Ole Sabaya

Mashtaka uliyosomewa Ole Sabaya ni kidogo sana, Ulijigeuza Mfalme na Igwe, Ulipopita barabarani wanawake walikuwa wanakimbia kuogopa utawakamata na kuwabaka

Mamlaka mnahitaji ushahidi upi wakati tayari ushahidi mnao na wahanga mnawafahamu

CCTV Camera za hotel Sabaya alizofanya uharamia zinajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Muweke na picha au hizo video za waathirika basi. Yasiwe maneno tu.
 
Hao watu waliokatwa masikio wako wapi?

Maana nyie majasusi uchwara wa mitandaoni kwa porojo hamjambo!

Hebu weka japo kaushahidi basi tuone!
Na mimi nashangaa,yaani watu wanaongea mno. Kweli wangekuepo hao walioliwa tigo na kukatwa masikio si wangeshawaweka aisee.
 
Huwezi kuyajua Haya wala kuwa na huruma kwani familia yako haijaguswa, Ben Saanane na Azory Gwanda familia zao zilizoguswa wakati wa Mwendazake hawawezi kamwe kumsifia huyo mtu kwani hata makaburi ya hao watu hayajulikani yapo wapi?. Ingawa TBC wanasema Mwendazake ni shujaa wa Africa

Kama upo Hai na Arusha, Hakuna ambalo halijulikani, Hao watu tunaishi nao mitaani wanauguza majeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpige picha mmoja basi mkuu.
 
Ingekuwa kwetu serikali nzima ingepelekwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Kwani kipindi Sabaya anafanya haya Jumong hakuwepo? Na hao wengine?
Tz ingeacha drama Ngoja nikitoka kumsindikiza ndugu yetu T.B Joshua nitarudi kunena mengi
 
Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo

Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na Wengine kukatwa masikio, Wengine uliwasaga vidole Sabaya Leo wanashindwa kutembea

Nashangaa hujasomewa bado haya mashtaka wewe na Kikosi chako cha mabaunsa

Hata kama ulitumwa au ulirogwa, Hakuna aliyekutuma kubaka na kukata watu masikio

Sabaya hakuwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu, Alijawa unyama na alitapakaa damu mkononi mwake

Nenda Sabaya Gerezani, Mashtaka uliyosomewa ni kidogo sana hayakidhi kiu ya watu wa Hai na Arusha

Watu wa Hai na Arusha bado tu nashangaa mamlaka kwanini hawajamsomea mashtaka ya utekaji, ubakaji, na unyanyasaji

Hata kama hujasomewa mashtaka na Mamlaka yanayogusa maumivu na ulemavu uliowaachia watu wa Hai na Arusha kuna siku na wewe utakatwa mikono, masikio na kusagwa vidole kama ulivyowatendea watu wa Hai na Arusha

Mamlaka ushahidi mnao, Magazeti yote yameenda Arusha na Hai na kukutana na walemavu wanaoguza majeraha. Gazeti la mwananchi la tarehe 05 June limefanya mahojiano maalum na wahanga walioachwa ulemavu wa kudumu na Ole Sabaya

Mashtaka uliyosomewa Ole Sabaya ni kidogo sana, Ulijigeuza Mfalme na Igwe, Ulipopita barabarani wanawake walikuwa wanakimbia kuogopa utawakamata na kuwabaka

Mamlaka mnahitaji ushahidi upi wakati tayari ushahidi mnao na wahanga mnawafahamu

CCTV Camera za hotel Sabaya alizofanya uharamia zinajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuwa mahabusu nahisi wanatudanganya hawa.
 
Hao watu waliokatwa masikio wako wapi?

Maana nyie majasusi uchwara wa mitandaoni kwa porojo hamjambo!

Hebu weka japo kaushahidi basi tuone!
Huyo hapo..kataa sasa!
IMG-20210513-WA0069.jpg
 
Back
Top Bottom