Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu

Siku ile ya uapisho wa makatibu tawala wa mikoa Rais aliongelea namna Mama Mghwira alivyosumbuliwa na wakuu wa wilaya, akasema walimdharau yule mama mwanasheria lakini ujumbe wa Sabaya aliufikisha kwa yule Mama Agnes, akafanya kama anamsema yeye aliye mahali pale kumbe ujumbe unamhusu Sabaya ambaye kwa wakati ule alikuwa chini ya ulinzi.
 
Mahakama pekee ndiyo itathibitisha tuhuma dhidi ya Sabaya kuwa za kweli au uongo.
Hayo mengine mnayoyaleta mitandaoni ni "propaganda" tu za kisiasa.
Kuna kitu kinaitwa, "cyber bullying" na kuna wahuni wanaweza kutumiwa na "wahuni" wa kisiasa ili tu kumchafua mtu fulani kwenye mitandao.
Ni dhahiri na wazi kuwa CHADEMA mnachuki binafsi na Sabaya na mmeamua kumchafua.
kwenye hii kesi chadema wameingiaje? wao ndio wamefungua kesi? ndio wampeleka mahakamani au ni serikali.
 
Kuna mtu mmoja yupo humu anaitwa atlas copco anasema alifirwa na sabaya.

Angetuwekea kapicha tuone alivyosulubiwa huko nyuma.

Ingependeza zaidi.
Mna wakati mgumu sana aiseee,dah sabaya alikuwa anawafanya vibaya sana,nasikia mmemmis mpaka mnataka mkadhanini arudi uraiani ili aendelee kuwashughulikia?
 
Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo

Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na Wengine kukatwa masikio, Wengine uliwasaga vidole Sabaya Leo wanashindwa kutembea

Nashangaa hujasomewa bado haya mashtaka wewe na Kikosi chako cha mabaunsa

Hata kama ulitumwa au ulirogwa, Hakuna aliyekutuma kubaka na kukata watu masikio

Sabaya hakuwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu, Alijawa unyama na alitapakaa damu mkononi mwake

Nenda Sabaya Gerezani, Mashtaka uliyosomewa ni kidogo sana hayakidhi kiu ya watu wa Hai na Arusha

Watu wa Hai na Arusha bado tu nashangaa mamlaka kwanini hawajamsomea mashtaka ya utekaji, ubakaji, na unyanyasaji

Hata kama hujasomewa mashtaka na Mamlaka yanayogusa maumivu na ulemavu uliowaachia watu wa Hai na Arusha kuna siku na wewe utakatwa mikono, masikio na kusagwa vidole kama ulivyowatendea watu wa Hai na Arusha

Mamlaka ushahidi mnao, Magazeti yote yameenda Arusha na Hai na kukutana na walemavu wanaoguza majeraha. Gazeti la mwananchi la tarehe 05 June limefanya mahojiano maalum na wahanga walioachwa ulemavu wa kudumu na Ole Sabaya

Mashtaka uliyosomewa Ole Sabaya ni kidogo sana, Ulijigeuza Mfalme na Igwe, Ulipopita barabarani wanawake walikuwa wanakimbia kuogopa utawakamata na kuwabaka

Mamlaka mnahitaji ushahidi upi wakati tayari ushahidi mnao na wahanga mnawafahamu

CCTV Camera za hotel Sabaya alizofanya uharamia zinajulikana
Ameachia mafisadi ulemavu wa moyo 😅😅
 
Back
Top Bottom