Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu

Usiandike kizungu cha kukariri!

Kwanza ulienda shule wewe au unajiandikia tu vizungu vya hovyo hovyo?

Umeishia la ngapi?

Kwa kifupi nimesoma sana kuliko wewe. Ninajua lugha nyingi kuliko wewe.

Kama kunizidi, basi umenizidi upumbafu tu!

Nisiache kukumbusha kuwa wewe si size yangu. Kutokea hapa accordingly ignore button inakuhusu sasa.

Bye bye amigo don't even mind to write back.
 
kwanza kabisa inaonekana una mihemko.
pili niliuliza swali basic.. naona umejibu mihemko.

tatu hao wanaodai wamefanyiwa hivyo wamejipelekea kwa vyombo husika. as we speak wanasikilizwa.

ww unataka watu waweke ushahid jf ili iweje? jf si sehem sahihi. kuna vyombo husila vilivyopewa mamlaka hayo.
Basi pia jf sio sehem ya kuweka hoja zenu zisizokua na uhakika.
 
Basi pia jf sio sehem ya kuweka hoja zenu zisizokua na uhakika.
Wanashangaza sana hawa.

Tuhuma wanaziweka mitandaoni, lakini wakiulizwa wanakimbia kimbia wanasema tuende kwenye vyombo husika.

Mara sijui majalada yapo kwa afande gani huko!

Hawa watu wa mtandaoni bwana wanachekesha kweli kweli.
 
Huwezi kuyajua Haya wala kuwa na huruma kwani familia yako haijaguswa, Ben Saanane na Azory Gwanda familia zao zilizoguswa wakati wa Mwendazake hawawezi kamwe kumsifia huyo mtu kwani hata makaburi ya hao watu hayajulikani yapo wapi?. Ingawa TBC wanasema Mwendazake ni shujaa wa Africa

Kama upo Hai na Arusha, Hakuna ambalo halijulikani, Hao watu tunaishi nao mitaani wanauguza majeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu pekee anayeweza kumtetea Sabaya lazima awe Sadist au Psychopath!
 
Alikiri wapi? lini? kwa kutumia nini?

Alikiri kwenye television ama wapi?

Una video au sauti inayothibitisha kuwa alikiri?

Niandike kwa kizungu: Do you have a voice note, a video or something?

Mbona unaniwekea mapicha ya bavicha?
Nenda kwa kamanda Hamduni ukamuulize.
Au panda gari njoo Hai ufanye uchunguzi ili ujiridhishe.

Siyo akili maandazi hapa.

Huko shuleni ulienda kusomea ujinga bila shaka.

Ni mgonjwa wa akili tu anaweza kumtetea hilo jambazi Sabaya.

Kaaa kimyaaa kabisaaa!!! Pumbavu !
 
Hayo aliyatenda chini ya OCD wa wilaya plus kamati ya ulinzi na usalama ikiwa nyuma yake ikimpa maaskari na ulinzi pia
Nahisi muda ndio utatoa majibu, Kesi ya Sabaya na Jamhuri haitafika mwisho wake bila hii kamati ya ulinzi na usalama Wilaya/Mkoa kuwajibika.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuyajua Haya wala kuwa na huruma kwani familia yako haijaguswa, Ben Saanane na Azory Gwanda familia zao zilizoguswa wakati wa Mwendazake hawawezi kamwe kumsifia huyo mtu kwani hata makaburi ya hao watu hayajulikani yapo wapi?. Ingawa TBC wanasema Mwendazake ni shujaa wa Africa

Kama upo Hai na Arusha, Hakuna ambalo halijulikani, Hao watu tunaishi nao mitaani wanauguza majeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
π™΅πšŠπš–πš’πš•πš’πšŠ 𝚒𝚊 π™Όπš πšŠπš—πšπš˜πšœπš’ πš’πš•πš’πšπšžπšœπš πšŠ πš”πš’πš™πš—πšπš’ πšŒπš‘πšŠ π™Ίπš’πš”πš πšŽπšπšŽ πš•πšŽπš˜ πš–πš‹πš˜πš—πšŠ πš–πš—πšŠπšœπš’πšπš’πšŠ π™ΉπšŠπš”πšŠπš’πšŠ? π™Ίπš’πšπšžπš™πš’ πš‘πšŠπš–πš“πšŠπš πšŠπš‘ πš”πšžπš πšŠ πš πšŠπš—πš’πš˜πšπšž 𝚞𝚠𝚊 πš–πš—πšŠπš›πšžπš”πšŠπš›πšžπš”πšŠ 𝚝𝚞
images%20(30).jpg
 
Endelea kutoa povu hapa ,lakin tambua ndugu yako sabaya wapo wanamtoa marinda taratibu huko aliko Sasa ,sijui unalipi la kutwambia ,au tukuunganishe na wewe ili ufuatane na mwenzio makatolewe marinda kwa pamoja? Nijib haraka we kima wa sabaya
 
Hayo aliyatenda chini ya OCD wa wilaya plus kamati ya ulinzi na usalama ikiwa nyuma yake ikimpa maaskari na ulinzi pia
Hii nchi ilifikia mahala Pabaya sanaa, imagine huyu alikuwa ni mteule wa rais aliyekuwa akihubiri kutetea wanyonge na kwamba eti yeye ni mcha Mungu...
 
Hayo aliyatenda chini ya OCD wa wilaya plus kamati ya ulinzi na usalama ikiwa nyuma yake ikimpa maaskari na ulinzi pia
Kamati ya ulinzi na usalama ina watu wengi kiongozi wengine wanapokea amri wengine ni kuandika tu na kuzipa mamlaka zingine kwa hatu unalijua hilo. Je unaushahidi hawakutimiza majukumu yao???
 
Huwezi kuyajua Haya wala kuwa na huruma kwani familia yako haijaguswa, Ben Saanane na Azory Gwanda familia zao zilizoguswa wakati wa Mwendazake hawawezi kamwe kumsifia huyo mtu kwani hata makaburi ya hao watu hayajulikani yapo wapi?. Ingawa TBC wanasema Mwendazake ni shujaa wa Africa

Kama upo Hai na Arusha, Hakuna ambalo halijulikani, Hao watu tunaishi nao mitaani wanauguza majeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaishi nao mtaani weka picha tuone hayo masikio yaliyokatwa na Sabaya.
 
Back
Top Bottom