Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,718
- 2,594
Nani aliyekwambia bar zikifunikwa zinasababisha kuenea kwa TB na ngwengwe? Umesoma report ya Afya Ni mikoa ipi inaongoza kwa maambukizo ya TB na ngwengwe je hyo mikoa unauhakika dar haipo kwenye list? Nani alikwambia mikoa ya baridi inakuwa na baridi miezi yote? Ndo maana waligundua AC funikeni bar zenu hatutaki makeleleMisiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na kuona kama kweli baraza na watu wake wenyewe wanawaita wataalam wa mazingira walifungia Bar na kuelekeza njia nzuri za kudhibiti sauti.
Maelekezo waliyotoa na Bar wamechukua hatua kufanya marekebisho, natolea mfano Kitambaa chepe Tabata - Barakuda na sehemu nyingi tumeona watu wanaziba Bar zilizokuwa za wazi wana brand Marine Board kudhibiti sauti. Hivi hawa watu wamefikiria vizuri madhara yanayotokea baada ya kufunika Bar za wazi au ndio bado wana wenge la NEMC??
Hivi NEMC wamepita tena kuona marekebisho hayo, kwamba bar za Dar es salaam sasa ziwe kama bar za njombe au mbeya?? kweli??? hawa watu ndio wanazuia madhara ya sauti, Hapa Dar es Salaam kuna joto, kunachangamoto nyingi sana za magonjwa ya kuambukiza hewa ikiwa haitoshi, joto, Corona bado iko nje, pindu pindu Moto,humo ndani kuna mimoshi ya shisha, bado Ngwengwe (TB) hawa wataalamu wa sauti kama wali solve for X tu wakati sie tunaona msala. Unawacontain watu wanamwagilia moyo je kikichafuka watu wanatokea wapi??
Au ndio wamejembisha watu na wamekaa pale wanaendela na business as ussual zao. wengine wanatoka wakapunge hewa wazee wa masauti hawataki kelele na wala hawataki kumsikia yeyeote.
NEMC wasipofanya kazi yao bado mtalalamika,wametekeleza wajibu wao bado mnalalamika...mnataka nini?Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na kuona kama kweli baraza na watu wake wenyewe wanawaita wataalam wa mazingira walifungia Bar na kuelekeza njia nzuri za kudhibiti sauti.
Maelekezo waliyotoa na Bar wamechukua hatua kufanya marekebisho, natolea mfano Kitambaa chepe Tabata - Barakuda na sehemu nyingi tumeona watu wanaziba Bar zilizokuwa za wazi wana brand Marine Board kudhibiti sauti. Hivi hawa watu wamefikiria vizuri madhara yanayotokea baada ya kufunika Bar za wazi au ndio bado wana wenge la NEMC??
Hivi NEMC wamepita tena kuona marekebisho hayo, kwamba bar za Dar es salaam sasa ziwe kama bar za njombe au mbeya?? kweli??? hawa watu ndio wanazuia madhara ya sauti, Hapa Dar es Salaam kuna joto, kunachangamoto nyingi sana za magonjwa ya kuambukiza hewa ikiwa haitoshi, joto, Corona bado iko nje, pindu pindu Moto,humo ndani kuna mimoshi ya shisha, bado Ngwengwe (TB) hawa wataalamu wa sauti kama wali solve for X tu wakati sie tunaona msala. Unawacontain watu wanamwagilia moyo je kikichafuka watu wanatokea wapi??
Au ndio wamejembisha watu na wamekaa pale wanaendela na business as ussual zao. wengine wanatoka wakapunge hewa wazee wa masauti hawataki kelele na wala hawataki kumsikia yeyeote.
Hizo sound proof ziishie huko huko ktk Madisco na Bars.Mketa mada acha kutetea ujinga,labda kazi yako inayokulisha mjini ni U-DJ,la sivyo naomba niseme acha upumbavu wako.
Kwa mfanyabiashara mwenye bar dar es Salaam hawezi shindwa weka Sound Proof na hata viyoyozi kwenye biashara zao.
La sivyo waanzishe maeneo tofauti ya uwekezaji wa burudani na yawe mbali na makazi ya watu.
Huu utitiri wa makelele ya masauti ya miziki na walokole mitaani,ni kero kubwa kwa wananchi pamoja na afya ya akili.