Neither Uhuru nor Ruto to be seen at Dangote's daughter wedding

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,203
79,433
BILL GATES, KIKWETE WAHUDHURIA HARUSI YA MTOTO WA DANGOTE:

Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft na tajiri namba mbili duniani, Bill Gates, pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya nne Tanzania, Jakaya Kikwete, wamehudhuria harusi ya binti wa tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote iliyofanyika kwenye mji mkuu wa Nigeria, Lagos.

Fatma Dangote amefunga ndoa na Jamili Abubakar, mtoto wa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini humo, Mohammed Dikko Abubakar.

Sambamba na Bill Gates watu wengine mashuhuri waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na viongozi wa serikali na wafanyabiashara wakubwa duniani.

Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo, Makamu wa rais wa Nigeria, Yemi Osinbajo pamoja na mkewe ni miongoni mwa waliohudhuria.

MY TAKE

Itakuwa cancellation ya Dangote cement factory in Kenya imeleta maneno.
 
Mawazo mafupi
 
Your mind needs to be rewinded physically, like an old skul radio cassette. Mara ngapi umeona Uhuru na Ruto wakihudhuria harusi za watu ovyo ovyo. Unadhani wakenya tunaelewa huo uswahili wenu? :D Eti hata wewe Geza na midevu yako yote unapenda pia kula keki na kudensi ovyo ovyo na kubeba pilau takeaway? Hahaha! :D
 
Your mind needs to be rewinded physically, like an old skul radio cassette. Mara ngapi umeona Uhuru na Ruto wakihudhuria harusi za watu ovyo ovyo. Unadhani wakenya tunaelewa huo uswahili wenu? :D
Ndo maana mnaukataa uwanaume kisa mzungu mnasema bora kuwa shoga ulaya Kwa sababu utakuwa unapakatwa na mzungu
 
Mwanaume ni mtu wa mikiki mikiki bana. Harusi nani ana time nazo? We acha bana. Mazishi tutakuja. Some things are strictly private affairs in Kenya, invite only, pale kanisani tu basi. Acha ushamba wako wewe. Kazi zenu kutafuna mali za watu bure. Harusi mnafika kijiji kizima kula pilau, wengine wanajua ni birthday na hata hawafahamu ni ya nani.
 
Your mind needs to be rewinded physically, like an old skul radio cassette. Mara ngapi umeona Uhuru na Ruto wakihudhuria harusi za watu ovyo ovyo. Unadhani wakenya tunaelewa huo uswahili wenu? :D Eti hata wewe Geza na midevu yako yote unapenda pia kula keki na kudensi ovyo ovyo na kubeba pilau takeaway? Hahaha! :D
Enda page ya Jeff Koinange! Utapata idea ya ninachoongea. Kenya media ina upumbavu na utoto mwingi. Dangote as a businessman vying to enter Kenya will definitely invite even a secretary from Kenya.
 
Mwanaume ni mtu wa mikiki mikiki bana. Harusi nani ana time nazo? We acha bana. Mazishi tutakuja. Some things are strictly private affairs in Kenya. Acha ushamba.
So unataka kuniambia hao chokoraa hapo kibera wakialikwa na dangote they won't appear because wedding is strictly private occasion? Sasa Uhuru na mwenzie si kama wavuta gundi wengine tu kwa dangote
 
Rais Uhuru leo hii amekuwa kwenye kikao na Raila alafu baadae wakafungua Tournament fulani kwenye Golf course hapo Nairobi . Pilau zenu tutakula siku nyingine. Shida watz mnapenda kushobokea mainvestor wakati nyinyi ndio mnawapa fursa sio hivyo vingine. Hamnaga confidence hata kidogo.
 
Enda page ya Jeff Koinange! Utapata idea ya ninachoongea. Kenya media ina upumbavu na utoto mwingi. Dangote as a businessman vying to enter Kenya will definitely invite even a secretary from Kenya.
:D:D:D:D:D You are not right in the mind. Man, what happened to you? At what point did you flip over?
 
Rais Uhuru leo hii amekuwa kwenye kikao na Raila alafu baadae wakafungua Tournament fulani kwenye Golf course hapo Nairobi . Pilau zenu tutakula siku nyingine. Shida watz mnapenda kushobokea mainvestor wakati nyinyi ndio mnawapa fursa sio hivyo vingine. Hamnaga confidence hata kidogo.
Naona Uhuru kapata darasa kutoka kwa JPM kutoshoboka kwenye nchi za watu
 
Juzi alikuwa kule Kigali, Rwanda ambapo alisign mkataba kati ya nchi 26 za Afrika. Kukubali 'Free Trade' kati yao na pia 'free movement' ya watu bila vikwazo. Hallo, Tanzania mpo kwenye bara hili?
 
Nendeni hukohuko tu huku hatutaki uchafu free movement nendeni Somalia
 
Rais Uhuru leo hii amekuwa kwenye kikao na Raila alafu baadae wakafungua Tournament fulani kwenye Golf course hapo Nairobi . Pilau zenu tutakula siku nyingine. Shida watz mnapenda kushobokea mainvestor wakati nyinyi ndio mnawapa fursa sio hivyo vingine. Hamnaga confidence hata kidogo.
Wewe pimbi mzee vipi!! Kati ya tz na ke nani anashobokea ma investors!? Uhuru daily yupo angani kama njiwa, Magu ametulia tu ofisini kwake watu wana jileta. Kipindi mna lia kunyang'anywa bomba la mafuta Uhuru alienda mpaka France akaramba miguu ya wanzungu ila kidume Magu akatulia ofisini tu watu wakajileta.
 
Nendeni hukohuko tu huku hatutaki uchafu free movement nendeni Somalia

Wewe pimbi mzee vipi!! Kati ya tz na ke nani anashobokea ma investors!? Uhuru daily yupo angani kama njiwa, Magu ametulia tu ofisini kwake watu wana jileta. Kipindi mna lia kunyang'anywa bomba la mafuta Uhuru alienda mpaka France akaramba miguu ya wanzungu ila kidume Magu akatulia ofisini tu watu wakajileta.
Mitusi hii yote lakini mtabakia kununa tu. Huku Kenya hakuna anayeshughulika na Tz. Hatujawamind kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom