Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,156
Helo Marafiki wa MMU! Natumaini wote ni wazima. Nilipata ajali Jumamosi 23/3/2013 nikiwa na familia yangu, namshukuuru Mungu hakuna aliyeumia.

Nakiri ya kuwa Bwana ndiye mchungaji wangu na Sitapungukiwa na kitu. Nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Kila iitwapo leo tusisahau kumtanguliza Mungu ktk shughuli zetu.. As sisi binadamu tunapanga mengi lakini yeye ndiye anaejua kesho yetu itakuwaje. Love u all.
 
Attachments

  • ajali.jpg
    64.9 KB · Views: 333
  • ajali 2.jpg
    58.1 KB · Views: 326
Pole sana Mpwa wangu, Mungu akutie nguvu zaidi, uende Church kumshukuru MUNGU bhana ntakusindikiza usijali
 
Pole sana mkuu, kwa kweli inabidi tujikabidhi kwa muumba kila wakati kwani hatuijui siku wala saa...
 
Mh pole sana na ukamtolee mungu shukrani.
 
Pole sana neggirl ... Kweli Mungu bado anakupenda!
Ila usijali ndiyo mitihani ya maisha...
 
Last edited by a moderator:
pole,hivi hii gari ndo ulikuwa unatuuliza unataka kununua!!!
 
Pole sana Mpwa wangu, Mungu akutie nguvu zaidi, uende Church kumshukuru MUNGU bhana ntakusindikiza usijali

Asante Elli .. yap ni muhimu sana kutoa shukrani na tutafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mpwa wangu, Mungu akutie nguvu zaidi, uende Church kumshukuru MUNGU bhana ntakusindikiza usijali

Asante Elli .. yap ni muhimu sana kutoa shukrani na tutafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…