Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

Bei ya korosho duniani imepanda sana kwani ongezeko la utumiaji umekuwa sana

Hata India wanachekelea kwa zao hili kufika rupia 102 kwa Mara ya kwanza

Vietnam ni wauzaji wakubwa USA sijui na sisi tutashika Soko la kimataifa lini
 
Hii kitu nilisema mapema, kama mtu alikuwa hata na 15m tu akawekeza huko. Now angekuwa anacheka na likely 50+ millions. Unafunga mwaka vyema kabisa

Uzuri wa zao la korosho hakuna ushenzi wa udalali kule. So faida ghafi inaingia direct kwa wanachama wa Amcos husika ambao ndio hao wakulima.
 
Tutauziwa moja mia, naona kitakuwa kitafunwa ghali zaidi africa mashariki
 
Ndugu zangu wa Kusini hasa Wamakuwa na Wayao acheni matumizi ya hovyo ya hizo Pesa mnazozipata na sijui ni kwanini huwa mkipata tu Pesa mnawehuka / mnachizika mno halafu mnaishia kuzitumia hovyo na mkiishiwa mnaanza kutusumbua kwa Simu zenu Sisi Ndugu zenu tuliopo Dar na Mikoa mingine. Mnasemwa sana lakini hambadiliki kiukweli mnatutia mno aibu. Mtoto wenu GENTAMYCINE ambaye upande mmoja ni wa Mara na mwingine wa Mtwara leo nawasema. Bahati mbaya sana tu sikijui vizuri Kimakuwa na Kiyao kama ambavyo nakijua mno Kizanaki na Kinyarwanda ila nilitamani niwaseme kwa Kilugha hapa.
Mimi naona kikubwa ni usahaulifu wa shida kwa muda mfupi lakini pia ukosefu wa elimu ya ujasiliamali. Kama elimu ya ujasiliamali ingekuwepo miongoni mwa wakulima kusini na makabila haya uliyoyataja yangeongoza kwa utajiri kwa sasa.
 
Hii kitu nilisema mapema, kama mtu alikuwa hata na 15m tu akawekeza huko. Now angekuwa anacheka na likely 50+ millions. Unafunga mwaka vyema kabisa

Uzuri wa zao la korosho hakuna ushenzi wa udalali kule. So faida ghafi inaingia direct kwa wanachama wa Amcos husika ambao ndio hao wakulima.
Exactly.
 
55d5f7c7b4fcd09cd6628d70553339fa.jpg
Hyo suna mkuu maana unaruhusiwa kuoa ata kitoto cha miaka 8 kama mtume huyo kakomaa sana mkuu
 
Mfumo uko hivi, vyama vya ushirika vinakusanya korosho kutoka kwa wakulima alafu wanaenda kuuza kwa matajiri wakubwa. Baada ya mauzo vyama vinaenda kulipa fedha walizopata kwa wakulima.
Wakulima wanalipwa 2500 tu kwa kilo, iyo nyingine inachukuliwa na serikali
 
Msimu huu bei ya korosho imeendelea kupaa hadi kufikia sh. 4010 katika mnada wa jana huko Tunduru. Tukipata fedha hizi tujitahidi kujiwekea akiba kidogo.
Nawasilisha.
Hii ni bei ya Korosho ghafi au iliyobanguliwa
Msimu huu bei ya korosho imeendelea kupaa hadi kufikia sh. 4010 katika mnada wa jana huko Tunduru. Tukipata fedha hizi tujitahidi kujiwekea akiba kidogo.
Nawasilisha.
 
HII NDO SHIDA YA WAIZRI MKUU KUJIPENDELEA WAKULIMA WAKUSINI KUPATA BEI NZURI...ILI KUONYESHA HAKUNA KUPENDELEWA BASI BEI INGESHUKA KAMA YA MBBAZI ILI KUONYESHA KUWA HAKUNA UHUSIANO NA KUWA NA WAIZIRI MKUU
Sijua umeandika kujipendelea ukiwa na maana gani, maana hata mbaazi kusini zinalimwa sana, Hususani Mkoa wa Lindi, Nachingwea, Ruangwa na Liwale.
 
Princess jitahidi uje ndio wakati wa neema huu. Unaweza ukarudi na chochote , kama una ndugu wanaweza kukuchotea kidogo.
nitakuja maana mama angu ana shamba na kakopesha hizo korosho..
ikitoka ela ntakuja by mwezi wa12

ila hilo dharau lao huko kijijini utazani wamelibeba vumbi la nanjota wakaligeuza sakafu, hayo mashauzi! kweli masikini akipata
 
Back
Top Bottom