Neema kwa wale wapenzi wa movie tu!

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
kwa wale mnao penda kudownload movies na mme kuwa mkishindwa kuzi pata au kudownload kwa sababu ya ukubwa wa movie.Sasa kuna neema kwa ajili yenu .fungua hii website Mobile Movies utaona categopry za movie mfano: hollywood,bollywood etc;.hizi movie zime kuwa reduces size zake origional ili wale wapenzi wa simu waweze zi download na kuziangalia kupitia simu zao. mfano kama movie ilikuwa Mb 700 sasa unaweza pata version ya simu kwa Mb 60 and other various sizes .Enjoy u'rself.
 
mbona wanasema UCWEB browser ndio recommended inamaana kama opera ndio unatumia itasumbua naomba ni saidie kabla sijakesha kwa kudownload..
 
mbona wanasema UCWEB browser ndio recommended inamaana kama opera ndio unatumia itasumbua naomba ni saidie kabla sijakesha kwa kudownload..

Mi natumia browser ya google chrome kwenye laptop kuzidownload afu na zi hamishia kwenye simu . pia nimetry kufungua na windows media player kwenye laptop ina na play .Try your luck
 
Mkuu big up
unadownload na kuangalia hata kwa VLC kupitia PC ingawa quality sio kivile,
Ntatumia vi mb200 vya airtel kila night kudownload movie mbili sasa
 
Thanks mkuu kwa hii kitu,ni tamu ajabu yaani!Movies zina sauti clear!Sasa ni mwendo wa movies tu!
 
mimi najaribu kudownload kwenye laptop using google chrome naona inazingua....kuna links flan zipo mbili.moja nahisi ni half ya movie na nyingine ni another half lakini nimejaribu kwenda kwenye hiyo half ya kwanza imezingua..screen haijafungua imekuwa nyeupe tuu..ha ha haaaa..ngoja nijaribu kwenye UCWB yangu ya simu...
 
Mkuu big up
unadownload na kuangalia hata kwa VLC kupitia PC ingawa quality sio kivile,
Ntatumia vi mb200 vya airtel kila night kudownload movie mbili sasa

Mkuu ile ofa ya free internet kuanzia saa sita usiku bado ipo?
 
Hiyo bure kampuni gani? Tigo, zain, au zantel.......Nahitaji kueleweshwa.
 
Back
Top Bottom