Neema imetuangukia wana udsm.

Hongereni sana vijana wa UDSM kwa kupewa kipaumbele, Yani kweli nimeamini ya kwamba SERIKALI MARA ZOTE INAWASIKILIZA WAPIGA KELELE, Yani sisi wengine huku tunadai Faculty allowance toka semista hii ianze hadi leo hii, Na bado kuna fedha ya Special projects ambayo hata haieleewki kuwa itatoka lini. Na kwanza ndio tunakaribia kufunga likizo fupiii!!!!

Hongereni sana enyi wanaharakati wa UDSM kwa mambo makubwa mnayoyafanya kwenye hili taifa letu. Mimi natammbua sana na kuthamini mchango wenu kwani hili hii circular mpya ya boom nyie ndio mlioianzisaha, mimi sio mwanafunzi wa UD ilazao lenu nalikubali sana. Tena nawaombeni sana kuwa mkimaliza masomo yenu hizo harakati MUZIENDELEZE vizuri hata huko makazini muendapo kwani Taifa limepelekwa pabaya na hawa wanaojiita wenye Nchi.

Senetor, plz nione ukishafika nipo hall 50 1st floor tuongee mchongo.
 
Mimi nimewekewa Tayari, kwa sababu nipo shambani itabidi nimsaidie mama kidogo kuvuna maharage na kupiga then Next week nishuke dar.
 
Hongereni sana vijana wa UDSM kwa kupewa kipaumbele, Yani kweli nimeamini ya kwamba SERIKALI MARA ZOTE INAWASIKILIZA WAPIGA KELELE, Yani sisi wengine huku tunadai Faculty allowance toka semista hii ianze hadi leo hii, Na bado kuna fedha ya Special projects ambayo hata haieleewki kuwa itatoka lini. Na kwanza ndio tunakaribia kufunga likizo fupiii!!!!

Hongereni sana enyi wanaharakati wa UDSM kwa mambo makubwa mnayoyafanya kwenye hili taifa letu. Mimi natammbua sana na kuthamini mchango wenu kwani hili hii circular mpya ya boom nyie ndio mlioianzisaha, mimi sio mwanafunzi wa UD ilazao lenu nalikubali sana. Tena nawaombeni sana kuwa mkimaliza masomo yenu hizo harakati MUZIENDELEZE vizuri hata huko makazini muendapo kwani Taifa limepelekwa pabaya na hawa wanaojiita wenye Nchi.

Pole mkuu
 
asante kwa maelezo yako mazuri kamanda,pamoja sana.
 
Udsm boom lina uhakika na mimi nilikuwa nayatandika dabodabo, nilikula kama m1.2 zaidi ya wenzangu, we acha tu,
ila ilikuwa bahati!!
 
Ok afadhali heshima itarudi demu wangu alishaanza kulalamika ngoja nicomfirm bank kwanza.
 
mpunguze safari za afrikasana kukamata magubeli na las vegas maaana historia inasema wakishakamat gafla
wanatafutwa watahiniwa wa kuzitumia kuanzia afrikasana /lasvegas na q-bar ingawa huku mnakujaga mkiwa na hela zenye akili
all the best na matumizi mazuri
 
Back
Top Bottom