Neema Gospel Choir AIC Chang'ombe

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,961
Aise hawa jamaa wanaimba kimataifa. Halafu wanaimba live. Hakika sasa Tanzania tunasonga mbele.
Sauti zimepangiliwa vizuri sana. Mlio wa mziki unahamasisha waimbaji nao wamependeza.
Hebu check wimbo wao huu


Watafute uweze kupata DVD.
 
Wako ok hasa huyo dada lead singer. Ila sauti ya tatu na nne hazisikiki kabisa.Warekebishe hilo.
 
Hongera zao sana hao waimbaji wako vizuri sana pamoja na wadogo zao cvc,hakika huimba kimataifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…