Needed used pump za mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Needed used pump za mafuta

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sita Sita, Feb 9, 2011.

 1. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Greetings wanaJF

  Niko hapa leo kutafuta information kuhusu Used Pump za kuuzia mafuta ya taa au petroli.

  Nimeshaulizia vituo kadhaa vya kuuza mafuta lakini sijabahatika kupata.

  If there is anyone with more info please let me kno.

  NAWASILISHA
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  [​IMG]we unahitaji pump za kutumia kwenye kituo cha mafuta/petrol/diesel? au mafuta ya uswazi?
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu pump za uswazi

  Ningekua Big Bon nigezifata Dubai
   
 4. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Help please
   
Loading...