Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
We kama huwajui wahindi kaa utulie, au na wewe ni wa India? Hawa washenzi walikuwa wanatubagua hata utalaamu hawana, hawataki kukaa na sisi hata kula wanajitenga wakati hawajui kitu, wananyanyasa vijana siwezi kuwatetea hata kidogo
Doing permit was HR job not mine, 700 were paid might be by HR. As i never paid anything.YOU WERE AREESTED AND YOU PAID BRIBE of 700 dollars you forgot.
Kwanini mumemfanyia hivi huyu muhindi?Sasa Bwana Saleh ndio mpaka umeamua kufungua a/c mpya kumjibu muhindi?Jamaa anaonekana ana hasira sana na GSM, licha ya hayo, tumepata habari kwamba huyu muhindi ni tapeli mkubwa sana, anadaiwa hela nyingi sana na wafanyikazi anaowataja kutoka GSM. Isitoshe anadaiwa nchi tofauti, Dubai na hata Abu Dhabi, kila nchi alipofanya kazi kaacha dosari, tena isitoshe, haruhusiwi kuingia Dubai kutoka na madeni makubwa anayodaiwa ambayo yanatokana na utapeli wake. Inaonekana kachanganyikiwa.
Mkuu,ameshatusoma Watanzania na anajua hatujiamini ndiyo maana kajiamini sana hata kuandika lugha ya ajabuajabu,ka angekuwa anaongea kiswahili ningesema ana experience.mkuu inategemea kama lugha ni kigezo wa kazi yake, pengine yupo vizuri ana experience ya kutosha kwenye hiyo field.
Haujaelewa?Nyambafu. Fils de pute.Bring them to the Court....Is this a judge/magistrate saying this???. Au ndo English kwa kiswahili fasaha
Nilifanya kazi na wahindi wa India, ubaguzi niliouona ulikuwa wa ajabu sana, ilifikia kipindi Wtz tukafanya fujo, hadi boss wao akaja kutoka Oman, kutuliza hali ya hewa, tuligoma kutoa data kwa muda wa wk 2 wakashika adabu ikabidi baadhi warudishwe kwao.Mimi nimekua na wahindi, nimefanya nao kazi, ukikutana na mhindi mpumbavu pamoja na mwafrica mpumbavu hauwezi jua nani muhindi nani mpumbavu.
Hahaha!Umesahau kachori.Mnaongea nini hapa ...
Kama mkisikia njaa nshtuen nipo na bagia hapa....
Haujaelewa?Nyambafu. Fils de pute.
wewe umeshawahi kuwapa ajira watanzania wenzako wangapi?Tell us One Tanzania who is employeed by an Indian Company in India?
I know India inside out, probably i have travelled across India more than you. Looking at your name you must be be from Gujarat or Rajesthan states.
GSM is a useless company if it had employee a person withthis caliber of English. How were you writting your reports, i am sure a tanzanian clerk used to write reports for you.
A General Manager who doesnt know how to report his case in the right places, who needs JF forum to help him, who has unbinding international employment contract, who doesnt know how to lodge his complain in his own country???
Wana JF tuache kila jambo kulirukia bila kutafakari, hebu wenye uwezo wakaulize wafanyi kazi wa pahali alipikuwa bosi huyu mhindi, utasikia alivyokuwa akiwatesa, na kufanya upendeleo qa kuwasaidia wenzake. GSM wanamabovu yao mengi, lakini huyi mhindi ni mlaghai.
Unapenda kachorHahaha!Umesahau kachori.
Bro bringing your problem here is a waste of time, especially the way you presented it. Why are you not contacting a lawyer for legal advice instead. People will bullshit you around.GSM did everything wrong on handling this issue, and i think their arrogance will bite them back.
sio huyu sasaNilifanya kazi na wahindi wa India, ubaguzi niliouona ulikuwa wa ajabu sana, ilifikia kipindi Wtz tukafanya fujo, hadi boss wao akaja kutoka Oman, kutuliza hali ya hewa, tuligoma kutoa data kwa muda wa wk 2 wakashika adabu ikabidi baadhi warudishwe kwao.
...acha ubishi hao wahindi wako GSM wamelikoroga,na wasipokuwa makini hili jambo lililoletwa thru Jf na huyu mdosi litamfikia Jiwe na watanyanyuliwa mzegamzega na kubwagwa pwaaaa,_hapo akili itawakaa sawaBro bringing your problem here is a waste of time, especially the way you presented it. Why are you not contacting a lawyer for legal advice instead. People will bullshit you around.
Had you brought your complaint and trying to expose them with some wrongdoing then it could have made a bit of sense. But in this way few people seem to have sympathy with you ...!!
You fucking indians you are lucky they did not *** you ass,you get imployment which africans can do and you still from your employer and now you complain in forum,the work you were doing Tanzanians could do,that permit should never be given to you as Tanzanians can do better,do you think african with the same qualification can get a job in india,i am writing to the minister to look over all permits in Tanzania,you should never had a permit in the first place.Sir, Please advice whom to complaint official , GSM company unlawful terminated me and deported me India.
I have all valid permits to work. Mohammed Salah(CIO) robbed me mid night with some other guys like Lauma ( Marketing staff) and fake police. They came mid night 12 AM total 7 people with GSM car 888, took all my things and than took me airport.
My mobile number which is with my name from last 3 years +0684972055 taken by Mohammed Saleh, i am afraid he could use my number for some other crime in Dar es Salaam.
mobile was taken by him and i did not get paid even my salary.
My all home was robbed, as there are so many expats work in GSM MALLS without permits.
I need advice to write complaint about management who did this unlawful things to me and because of them i suffered.
View attachment 932559
View attachment 932561
View attachment 932560
Ni kosa la nani?Tell us One Tanzania who is employeed by an Indian Company in India?
I know India inside out, probably i have travelled across India more than you. Looking at your name you must be be from Gujarat or Rajesthan states.
GSM is a useless company if it had employee a person withthis caliber of English. How were you writting your reports, i am sure a tanzanian clerk used to write reports for you.
A General Manager who doesnt know how to report his case in the right places, who needs JF forum to help him, who has unbinding international employment contract, who doesnt know how to lodge his complain in his own country???
Wana JF tuache kila jambo kulirukia bila kutafakari, hebu wenye uwezo wakaulize wafanyi kazi wa pahali alipikuwa bosi huyu mhindi, utasikia alivyokuwa akiwatesa, na kufanya upendeleo qa kuwasaidia wenzake. GSM wanamabovu yao mengi, lakini huyi mhindi ni mlaghai.
Hawana lolote ta hata mbongo anaweza kazi za management na kubana matumizi,tatizo ni colonial mentality mzungu first,muhindi second,mwafrika third badilli fikira zako.Kaka tukiachana na lugha wahindi wapo vizuri sana kwenye management na kubana matumizi.. Thats why hakuna kampuni kubwa ya bongo isokuwa na muhindi.
Mimi ndo hakimu nimemwambia awalete mahakamani ,nimekosea wapi ?T'es con. I speak Kisukuma, kiswahili, English and French frequently. I speak Espagnol and deutsch and ofcourse italienne perfectly.Dada yangu huwa nakuona kichwa sana ila umeingia mkenge kwenye hii story ya huyu muhindi....Samahani lakini.
Fils de pute....Halafu mbona hv bwanaaa...Asante lakini