Need to launch complaint against GSM GROUP


Mkuu huwezi zuia watu namna hiyo...

Unaruhusiwa ku-hire any talent from any country hapa nchini,ilmradi ufate sheria...Serikali haiwezi ban external workers mzee,huwezi...kama ni hivyo TZ nayo itakua inafanyiwa vibaya sana abroad....

Kuna kazi ambazo ni reserved specifically kwa ajili ya Tanzanians,ila kupiga marufuku kabisa external wasije,sidhani kama ni sawa aisee!

Na kumbuka private sector huwezi ipangia sana mambo mzee..thats one thing!
 
Shut up fcukin indian.
 

But what you should know is that, those guys, have a habit of suing people posting in this forum.
 
But what you should know is that, those guys, have a habit of suing people posting in this forum.
This is only one platform, others are also activated in multiple dimension such as labour, criminal, news paper.
 
You can't persue legal action as you are far away .Find an advocate who can stand for you.
 
siyo dhambi yeye kutokufaham kiingereza. its just a language like any other language. lets not judge him by his language.lets consider what he has posted here. his color, nationality, language skills shouldn't be the main topic. kwa nini tunakuwa makaburu? kesho na keshokutwa atakuja hapa mnyakatu mkijua kabila lake ni la kitanzania la kinyakatu naye mtamsema kuwa hajui hata kiswahili then mka mu ignore.
Bora hata wachangiaji kushinda huyu muhindi aliyeletwa.
 
ukisoma huu uzi utawaona watu waliotumwa na GSM waje kuuharibu au kuhamisha magoli.
People might be told to finish or cancel my contract in peace way, but some goons like Lauma, Moahmmed Salah thought it is the power they got to do unlawful activities.
 
Who is Inam Saudagar ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…