π₯π₯Habari Developers,
Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa π
Include:
Testers:
- Jina la app/project
- Link ya ku-download au ku-access
- Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.)
- Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.)
Jaribu kuangalia projects/apps za wengine na toa feedback ya maana ili kutiana moyo katika moja na mbili...!
#Mchango wako Msaada kwa mwingine...!
πππππ Nimecheka sana.Pole sana jomba
Huu mtandao ni majanga
Kumejaa wauza mifuko na bodaboda
Nenda Reddit au Stack Overflow
Shukrani sana, ngoja nidownload...!Pendeza Booking App
App Bora sana kwasasa hii hapa
Pendeza Booking App - Apps on Google Play
Book top salon appointments, discover beauty experts, and pay securely with easeplay.google.com
Mmmmh lavda niweke hizi beginner beats za fl studio maana napiga beat najicheka mwenyeweπ³πππMkuu weka software yako basi, maana ulipotea miezi 5 nafkiri umekamilisha...!
Hapana niliona tu kwamba kama jf imepoteza mvuto flani hivi nikawa siingiiMkuu weka software yako basi, maana ulipotea miezi 5 nafkiri umekamilisha...!